min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Yeah ukiona nipo humu jua nina mda wakutosha wa kufanya hivyo😊😊 japo sijui kwa ndugu yangu roboti ila mimi nasoma nakutafakariNi kweli huwa mnasoma comments? Manake unaweza kukuta ndani ya dakika mbili likes 27 kutoka kwa mtu mmoja