Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.


JF unaletewa habari zinazokuhusu we mwenyewe muhusika huzijui πŸ˜†
Hongera yake kwa kuolewa
 
JF unaletewa habari zinazokuhusu we mwenyewe muhusika huzijui πŸ˜†
Hongera yake kwa kuolewa
Ila nyingine za kweli km zile za vibumbu πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ‘Œ

Ila mwaka ulikuwa wa moto huu 🀣🀣🀣
Mambo kwa ushahidi, wanaume wa humu ukiachana nao km ulimpa tu nude pics jiandae kuaibishwa..!!
Mambo ya piemuni yote hadharani 🀣🀣😹
 
Hata kama umewazidi wazazi wako umri sio vizuri kuwadharau..
 
Weeee.. huwa mnatumiana nudes?

Kumbe humu mzembe mimi tu aseeh
 

Vibumbu ni kitu gani tena jamani πŸ˜‚ na stori yake nafikiri ilinipita

Halafu lengo la kutuma nudes kwa mwanaume ni ili apigie nyeto ama ni nini mimi ndo mshamba wa jiji?
 
Dah kwa mimi binafsi maisha nimeamua kuyapa thamani ya furaha , japo kuna changamoto ila nimeamua pia kuziweka kama nafasi ya kujifunza tu ,hivyo mda wote nafurah tu, na nina penda kila mtu bila kujali anachokiwaza, japo humu watu wanaotumia hisia ya mihemko na hasira nawachukulia akili ndogo , japo pia wanaweza wasiwe hivyo, ila kwangu mimi nimeona niwachukulie hivyo tu πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…