Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

Kule kijiweni nilikuwa napita kwa bahati tu ndo nakutana na stori chache,hiyo ya kibumbu siijui

Mmmh kwa hiyo ukituma nudes na mwanaume anatuma zake

Haujalewa bhana,hebu niambie hata maana ya kibumbu kabla hujazima ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mahi kibumbu hukijui kweli??
 
Tatizo lako hupendi amani kabisaaaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃumekumbukaje hayo mambo mwisho wa mwaka?
 
Kule kijiweni nilikuwa napita kwa bahati tu ndo nakutana na stori chache,hiyo ya kibumbu siijui

Mmmh kwa hiyo ukituma nudes na mwanaume anatuma zake

Haujalewa bhana,hebu niambie hata maana ya kibumbu kabla hujazima ๐Ÿ˜‚
Kuna kibumbu na Libumbu....
 
Mbona coca ana baby boy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ