Karibu tukujengee hii nyumba ya chumba kimoja kwa mkopo

Karibu tukujengee hii nyumba ya chumba kimoja kwa mkopo

Bladi hell.....☹️
Nakazia. Si hivyo tuu bali pia ni bladifuu. Milioni 28 kizembe-zembe hivyo?
Kwa hiyo m28 unajenga vyumba 2 (kimoja ni master)na sebule, jiko, stoo na choo 1 public. Sakafu ni tiles, paa ni la kawaida (sio msauzi) na Umeme. Hapo ni pamoja na baada ya fundi kukuibia au kuweka cha juu.
 
Back
Top Bottom