Karibu tukujengee hii nyumba ya chumba kimoja kwa mkopo

Karibu tukujengee hii nyumba ya chumba kimoja kwa mkopo

20241214_141406.jpg
20241214_141319.jpg
 
Fundi weka Mawasiliano yako sasa, hapa umesha mtoa mwenzio kwenye reli.

Daah eti chumba kimoja millioni 28 huku kutishana sasa
Mm sio fundi, ni mmiliki wa nyumba kama wewe. Ukihitaji kujengewa naweza kukushauri. Kutokana na ramani ukapata na bei.
 
Kaaah...Chumba kimoja kwa milioni 28 na Pesa ya mrabaha 10% ya deni??? Hampo serious nyie....hiyo millioni 28 ananunua kiwanja na anajenga na pesa inabaki.....Ninyi mlivyo wapumbavu eti kwa hiyo pesa mnataka mkute na kiwanja kabisa! Acheni unaniliu
 
MKOPO MKOPO wa ujenzi,
Nyumba hii inasifa zifuatazo.

Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom.

Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa wanaojenga nyumba zakupangisha ni nzuri sana na haina gharama kubwa.

Gharama yake ni kiasi cha shiling million 28,000,000 tu mpaka finishing,Nyumba inakua na kila kitu kinachoitajika,maji,umeme,rangi ndani na nje,tiles,madirisha ya aluminum nk.

Namna ya malipo kwa Nyumba hii nikama ifuatavyo.

📍Malipo ya awali huanza na 30%=8,400,000

📍Deni 19,600,000

📍Mrabaha ni 10%=1,960,000

📍Jumla ya deni litakuwa 21,560,000

📍Muda wa marejesho ni miaka 4 Sawa na miezi 48.

📍Rejesho kwa mwezi litakuwa ni 449,000

Muda wakukabidhi Nyumba ni miezi sita tu.

VIGEZO;-
Uwe Mtanzania
Uwe na kiwanja chenye hati au nyaraka ya mauziano.

Kwa maelezo zaidi tembelelea office zetu zilizopo kitunda
0743257669
Nitafute whatsappView attachment 3226242
Kwa Dar 28m unajenga nyumba kubwa na unahamia kabisa!
 
Kaaah...Chumba kimoja kwa milioni 28 na Pesa ya mrabaha 10% ya deni??? Hampo serious nyie....hiyo millioni 28 ananunua kiwanja na anajenga na pesa inabaki.....Ninyi mlivyo wapumbavu eti kwa hiyo pesa mnataka mkute na kiwanja kabisa! Acheni unaniliu
Wanafikiri kila mtu ni Boya
 
Vyumba viwili, kimoja master
Jiko kubwa, na vibaraza viwili
25,000,000
Complete maji yanaflow ndani
Tiles
Slidding window.
Umeme ndani.
Mje niwajengee jamani.
Huu bado pia ni wizi,
Utawaokota makolo na malofa
25m ni pesa nyingi sana
 
Back
Top Bottom