BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Alidhani atatuokota kirahisiMpaka sasa mtoa mada hajasogeza hata pua yake humu π
Watanzania wamemuwai chap πAlidhani atatuokota kirahisi
πππKiwanja chako au changu?
Millions 6 Mpaka HapoHaka bei gani?
Upo wapiVyumba viwili, kimoja master
Jiko kubwa, na vibaraza viwili
25,000,000
Complete maji yanaflow ndani
Tiles
Slidding window.
Umeme ndani.
Mje niwajengee jamani.
MKOPO MKOPO wa ujenzi,
Nyumba hii inasifa zifuatazo.
Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom.
Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa wanaojenga nyumba zakupangisha ni nzuri sana na haina gharama kubwa.
Gharama yake ni kiasi cha shiling million 28,000,000 tu mpaka finishing,Nyumba inakua na kila kitu kinachoitajika,maji,umeme,rangi ndani na nje,tiles,madirisha ya aluminum nk.
Namna ya malipo kwa Nyumba hii nikama ifuatavyo.
πMalipo ya awali huanza na 30%=8,400,000
πDeni 19,600,000
πMrabaha ni 10%=1,960,000
πJumla ya deni litakuwa 21,560,000
πMuda wa marejesho ni miaka 4 Sawa na miezi 48.
πRejesho kwa mwezi litakuwa ni 449,000
Muda wakukabidhi Nyumba ni miezi sita tu.
VIGEZO;-
Uwe Mtanzania
Uwe na kiwanja chenye hati au nyaraka ya mauziano.
Kwa maelezo zaidi tembelelea office zetu zilizopo kitunda
0743257669
Nitafute whatsappView attachment 3226242
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππWezi nyinyi
Upo wapi nikupe hela unijengeeeMillions 6 Mpaka Hapo
Kianzia Chini Mpaka Hivyo Unavyoiona
MkuuUpo wapi nikupe hela unijengeee
Millions 6Hii nyumba kwa million 6 unahamia.
Hio 28 unajenga guest kabisa ya vyumba kumi.
Maana chumba kimoja kwa kila kitu Ina gharimu million moja na nusu.
Mbezi kimaraUpo wapi
Usiniambie kumbe una mihela ππUpo wapi nikukabidhi mihela
Unajenga kubwa zaidi ya chumba 1 mkuuDuh hapa najiuliza kwa 28m naweza kujenga nini!
Ulijengea wapi huko mkuu?Mimi nilijenga kama hiyo pamoja na kiwanja million 6 tu