Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Kwahiyo umereply kwenye hii nyuzi kwa sababu umetishika au ππ?Jina lako linatisha πΉπΉ
Umesema tukaribie moyo wangu ukaongeza mapigo πKwahiyo umereply kwenye hii nyuzi kwa sababu umetishika au ππ?
π π π π nimecheka sanaNilipigaga mshindo jobu sasa nilinunua makorokoro mengi .Kilichokuja kunifanya nijione mjinga nilinunua ndoo lita 20 ya ubuyu na sungura wawili .Mama mjengo aliishia kusema tu " haya bwana ni hela zako"
Kila mtu atakufa, nawasaidia tu kufikia mwisho mwema wenye furaha πUnaua roho za vijana wachang
Kwahiyo boss aka mix by Yas.No 1:
Boss kazini kuomba mixx by Yas π na mimikuomba uhamisho after that π
No 2:
Aliyekua rafiki yangu alikua na shida na hela, baada ya kuniomba mimi akamtumia meseji mume wangu kumuomba hela, mume akascreenshot akanitumia meseji yake.
Nikajua tu hii ni taa nyekundu, kinachofuata atamtongoza shemeji yake, wote tukamblock na sijaongea naye tena (it has been 5 years).
Wewe tena na unavyopenda ππ€Umesema tukaribie moyo wangu ukaongeza mapigo π
ninavyoupenda ubuyu ningeumumunya taratibu ndoo iishe sungura ukawafanya nnNilipigaga mshindo jobu sasa nilinunua makorokoro mengi .Kilichokuja kunifanya nijione mjinga nilinunua ndoo lita 20 ya ubuyu na sungura wawili .Mama mjengo aliishia kusema tu " haya bwana ni hela zako"
nilijua nisiye na akili ni mimi tu.Baada ya kusema hayo.....
Naomba kuwasilisha..π€
Tatizo jina lako πWewe tena na unavyopenda ππ€
Hapana kwa kweli, huo ni mpaka ambao siuvuki.Kwahiyo boss aka mix by Yas.
Uhamisho uliiupata lakini?
Em wait,. Kwahiyo ulimpa mix by Yas??π€No 1:
Boss kazini kuomba mixx by Yas π na mimi kuomba uhamisho after that π
No 2:
Aliyekua rafiki yangu alikua na shida na hela, baada ya kuniomba mimi akamtumia meseji mume wangu kumuomba hela, mume akascreenshot akanitumia meseji yake.
Nikajua tu hii ni taa nyekundu, kinachofuata atamtongoza shemeji yake, wote tukamblock na sijaongea naye tena (it has been 5 years).