Karibu tupumzike pamoja baada ya kazi

Karibu tupumzike pamoja baada ya kazi

Aisee mimi ndio naingia kazini
1000034009.jpg
 
We ndo uliaga humu tukutane next year majira kama haya ? Au ulkuwa unajifunza unabii ili upate kutimia??
Sijawahi kuaga kukutana next year, labda mshangazi mwingine 😂 😅

kitu cha kijinga zaidi nlichowahi kufanya nilishindwa kuvumilia hisia zangu kwa madam wa kiswahili A level, nikamwandikia kibarua fln hivi. Baadae nliitwa pared nikawa mfano kwa wengine .sitomsahau niliaibika sanaa japo wana walinisifia sana sikupataga manzi mpk namaliza.
 
Daaah 😂 😂 😂 kijana mwenye confidence yake, nimependa!
 
kitu cha kijinga zaidi nlichowahi kufanya nilishindwa kuvumilia hisia zangu kwa madam wa kiswahili A level, nikamwandikia kibarua fln hivi. Baadae nliitwa pared nikawa mfano kwa wengine .sitomsahau niliaibika sanaa japo wana walinisifia sana sikupataga manzi mpk namaliza.
Hii ndio maana halisi ya ujasiri sasa😂🙌🏿
 
Back
Top Bottom