Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #61
Alikua mwalimu kijana au mtu mzima?Nilifedheheswa sana mwaka juzi alkuja kituoni kwetu akihitaji hudum aliniachia contact sikumtafta tena
Alikua mwalimu kijana au mtu mzima?Nilifedheheswa sana mwaka juzi alkuja kituoni kwetu akihitaji hudum aliniachia contact sikumtafta tena
Nadhani alikuw kama28_30 hiviAlikua mwalimu kijana au mtu mzima?
Alikua bado binti, ila labda aliona umemkosea heshima kwa sababu ni mdogo kwake au alikudharau huwezi kumfikisha kwa sababu bado ulikua kinda.Nadhani alikuw kama28_30 hivi
Nadhani lbda hela tu nilkuw form6 na sikuwa mbaya kihivyoo mbn alkuja? Nlpojopata alichart mara kadhaa na mm sikupa muhimu tenaAlikua bado binti, ila labda aliona umemkosea heshima kwa sababu ni mdogo kwake au alikudharau huwezi kumfikisha kwa sababu bado ulikua kinda.
Basi itakuwa ni mwingineSijawahi kuaga kukutana next year, labda mshangazi mwingine 😂 😅
![]()
Hata nikiwa na stress nikija humu JF zote zinayeyuka, anyway, kwaherini ya kuonana!
Wiki ijayo narudi kazini sitakua na muda tena wa kuingia humu mara kwa mara. Njooni mshare na mimi vituko vya mwisho mwisho basi, nikiwamiss nije kuusoma huu uzi. Nini umekiona kwenye jukwaa wiki hii kikakufurahisha?www.jamiiforums.com
hiyo picha ya kati mbona kama hilo ni kono langu😲Baada ya kusema hayo.....
Naomba kuwasilisha..🤝
Usiogope, uzuri humu ndani hatujuani 😆 😆hiyo picha ya kati mbona kama hilo ni kono langu😲
mpaka nimeogopa kidogo isije kuwa Nusratt kafanya yake tayari,Usiogope, uzuri humu ndani hatujuani 😆 😆
Kabisa 😂😂🤭Basi itakuwa ni mwingine
Labda hilo nalo lilikua tatizo, ila pole kwa aibu na hongera kwa ujasiri.Nadhani lbda hela tu nilkuw form6 na sikuwa mbaya kihivyoo mbn alkuja? Nlpojopata alichart mara kadhaa na mm sikupa muhimu tena
Vile nimezimiss story zako 😂 😂 kwahiyo dampo hupigi deki, acha uoga dogo 😆Yapo mengi mno aiseee mengine ya ajabu.
Kipindi nipo field pale TOT kuna maza ndo alinifanyia mpango
Huyo maza akawa ananishawishi kama takua nae basi nikimaliza field tuu kuna uwezekano wa kurudi pale after chuo.
Sasa katika vitu ambavyo alikua anataka ni kufanya nae mapenzi.
Hiyo haikua ishu ila sasa kitendo cha kushuka dampo(kunyonya kule ) daah ilikua ngumu kwangu... Nikaambiwa mi mshamba pia niache utoto.
2. Nimevunja urafiki na wengi tu kwanza huyu wa kwanza alikua mwanachuo mwenzangu mdada flan hv. Yaani yeye ni rafiki na mimi ila kila siku yeye yupo na mimi tuu hata kwa ant angu wakawa wanamjua.
Ikafikia kipindi akawa anakuja room tunalala kabisa na kula nikala. Ila siku niliyomwambia nataka uwe wangu forever hapo hapo akazingua na mpaka sasa nipo na sms zake manina yule
3. Daaah hapo kwenye kununua kitu bado
4. Kwa watoto wa 2000 juaa pesa sina
Kwa mishangazi jua nina mambo mengi siendi kila mara anaponiita hv anafanya aniteme
5. Nipo mbingini ule mda wa kupewa vitabu vya madhambi..
All in all mashekhe muache kututisha na mawaidha yenu yale ya siku ya mwisho... Dini sio ngumu kiasi hicho wakuu
Mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro maxSawa tajiri!
Daaahhhhhhhhhhhhh 😆 😆 😆 😆 😆 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nilinunua ndom dem akakimbia,nikazijaza upepo now ni mapambo gheto
Yapo mengi mno aiseee mengine ya ajabu.
Kipindi nipo field pale TOT kuna maza ndo alinifanyia mpango
Huyo maza akawa ananishawishi kama takua nae basi nikimaliza field tuu kuna uwezekano wa kurudi pale after chuo.
Sasa katika vitu ambavyo alikua anataka ni kufanya nae mapenzi.
Hiyo haikua ishu ila sasa kitendo cha kushuka dampo(kunyonya kule ) daah ilikua ngumu kwangu... Nikaambiwa mi mshamba pia niache utoto.
2. Nimevunja urafiki na wengi tu kwanza huyu wa kwanza alikua mwanachuo mwenzangu mdada flan hv. Yaani yeye ni rafiki na mimi ila kila siku yeye yupo na mimi tuu hata kwa ant angu wakawa wanamjua.
Ikafikia kipindi akawa anakuja room tunalala kabisa na kula nikala. Ila siku niliyomwambia nataka uwe wangu forever hapo hapo akazingua na mpaka sasa nipo na sms zake manina yule
3. Daaah hapo kwenye kununua kitu bado
4. Kwa watoto wa 2000 juaa pesa sina
Kwa mishangazi jua nina mambo mengi siendi kila mara anaponiita hv anafanya aniteme
5. Nipo mbingini ule mda wa kupewa vitabu vya madhambi..
All in all mashekhe muache kututisha na mawaidha yenu yale ya siku ya mwisho... Dini sio ngumu kiasi hichowalis
Ahsante !Pole na kazi za usiku na kazi njema!