lestone
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 928
- 2,006
Oooh!! Na kumb tu generalize kuwa furah ya maisha inakuja baada ya kutimiza malengo mahusus ya maish yako binafs.Mimi umri wangu wa mahangaiko umeshapita, now naenjoy tu.
Watoto wameshakua, familia yangu haina matatizo, nina uhuru binafsi, nimetimiza malengo yangu mengi na nimeridhika.
Nafanya kile ninachotaka, siyo kile ambacho inanibidi kufanya, na huo ndiyo utamu wa maisha yangu kwa sasa.
Na I'm on journey na bado cjamaliz mengi ya Malengo yang 😁 hapo siwez kuwa fully na Furah ipo partially!!