Karibu tupumzike pamoja baada ya kazi

Karibu tupumzike pamoja baada ya kazi

Vile nimezimiss story zako 😂 😂 kwahiyo dampo hupigi deki, acha uoga dogo 😆
Weeeh hapana ...
Kwa sasa sifanyi hiyo kitu maana kuna mtu humu aliwahi nipa darasa kuhusu hayo mambo nikatulia kidogo...

Ila kuna huyu mmoja anapendaga sana nifanye ila hapana nakataa mpaka anaweka dau
 
Subiri kwanza, mie dampo nilielewa ni nyuma Yas au ulimaanisha kwenye kipochi manyoya, chumvini ile kawaida tu?
 
nahisi wanauogopa mguu wa mtoto nilionao
Usijali, utapata tu wa kufanana naye
fox tv GIF by Empire FOX.gif
 
Nayala ila sio kwenda huko..
aisee kule yataka moyo mno japo kuna kipindi nusu nife maana nilibanwa aiseee
Naikumbuka ile story yako ya kubanwa na mshangazi wa mbagala au sijui wapi kule ulisema 😂 😂 😂 😆
 
Mkuu nimepitia mengi sana aisee mpaka sasa namshukuru mungu tu..

Ila hiyu shangazi dorry alijua kunitesa maana yeye hakujali ni mwezi wa kufunga au laa alikua anataka nimuweke tuu mpka sasa nikawa naogopa kwenda kwake maana mtego wake ulikua ni huo

Kwa sasa sina mambo mengi mpaka nitakapo hama hapa ndo ntaanza kuchungulia hawa watu
 
Haya tulia sasa kijana, usinogeshe tena mshangazi 😂 😂
 
Back
Top Bottom