Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,245
- 42,008
Anhaa sawa . Kumbe baada ya kuombwa ndio ukahama.Hapana kwa kweli, huo ni mpaka ambao siuvuki.
Nilipata buana, nilimwambia asiponipa namrepoti HQ.
Basi ulivyoandika imekaa kama boss alikuomba a mix by Yas na baada ya ku mix by Yas akakufanikishia ombi lako la uhamisho.