Mimi umri wangu wa mahangaiko umeshapita, now naenjoy tu.
Watoto wameshakua, familia yangu haina matatizo, nina uhuru binafsi, nimetimiza malengo yangu mengi na nimeridhika.
Nafanya kile ninachotaka, siyo kile ambacho inanibidi kufanya, na huo ndiyo utamu wa maisha yangu kwa sasa.