Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

Wakuu naomba msaada wenu Mimi nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2020 na mimebahatika kupata division 3 ya 14 kwa mchepuo wa CBG na kupata CHEMISTRY E,BIOLOGY E, GEOGRAPHY D kwa alama hizo naweza kuchaguliwa kujiunga na University
 
Wakuu Mimi nimemaliza Kidato cha Sita mwaka huu kwa mchepuo wa CBG Kwa kupata CHEMISTRY E, BIOLOGY E na GEOGRAPHY D Ivi naweza KUCHAGULIWA kujiunga na chuo chochote au nirudie MTIHANI na kama nikichagua kurudia nirudie masomo yapi?
 
Nenda chuo ata diploma sio mbaya kikubwa fani katika maisha swala la kuludia kitu wakat mbadala upo acha kabsa
 
CCM imeharibu kabisa elimu ya nchi hii.

Kama uliyeleta mada umehitimu kidato cha sita..basi hiki chama hakistahili kuendelea tena kutawala.

Pole kijana!
Nyuzi nyingi sana wanauliza maswali haya wakati sisi tukiwa shule huwa tunayajadiri na kujua mapema kabisa. Huyu alikuwa dodger
 
Wakuu naomba msaada wenu Mimi nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2020 na mimebahatika kupata division 3 ya 14 kwa mchepuo wa CBG na kupata CHEMISTRY E,BIOLOGY E, GEOGRAPHY D kwa alama hizo naweza kuchaguliwa kujiunga na University
Kaka hiyo ngumu kwa mujibu wa TCU guidebook wanatak two principal pass zenye minimum point 4 yani inaweza kuwa DD au CE
 
Wakuu Mimi nimemaliza Kidato cha Sita mwaka huu kwa mchepuo wa CBG Kwa kupata CHEMISTRY E, BIOLOGY E na GEOGRAPHY D Ivi naweza KUCHAGULIWA kujiunga na chuo chochote au nirudie MTIHANI na kama nikichagua kurudia nirudie masomo yapi?
Unapata chuo sema ndo Diploma
 
Back
Top Bottom