Seleman Mgasahb
Member
- Mar 8, 2018
- 14
- 4
Shida Ni uwezo wa wazazi wetuKwanini usiende diploma ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida Ni uwezo wa wazazi wetuKwanini usiende diploma ?
Wakuu Mimi nimemaliza Kidato cha Sita mwaka huu kwa mchepuo wa CBG Kwa kupata CHEMISTRY E, BIOLOGY E na GEOGRAPHY D Ivi naweza KUCHAGULIWA kujiunga na chuo chochote au nirudie MTIHANI na kama nikichagua kurudia nirudie masomo yapi?
Asante,sikuwahi kufahamu mambo yalivyo sasaSa hivi kusoma bachelor degree mpaka uwe na D mbili
Tcu guide book inamajibu yoteKwa matokeo haya huyu mtu anaweza soma microbiology au bachelor of science in molecular biology and biotechnology pale udsm
Chem D
Bio D
Geo C
Bam S
Gs D
ushauri mzuriMkuu jaribu kuapply kwamaana Kuna watu mwaka uliopita ninawafahamu kabisa wamepita kwa ufaulu huo, lakini kikubwa angalia na kozi unazoapply.
Cha kukutia moyo Ni kua unapoapply jaribu kuapply na foundation course ili kwamba ukikosa bachelor uende hiyo na ukifanya vizuri mwakani unajiunga kupiga degree yako Kama kawaida boss.
Sifa anazo,Kwa matokeo haya huyu mtu anaweza soma microbiology au bachelor of science in molecular biology and biotechnology pale udsm
Chem D
Bio D
Geo C
Bam S
Gs D
Acha uongoUnazingua. D flat ni 11.
Usimshauri kabla hajakuambia anachotaka kusomea,Nina dogo langu kamaliza form six na alisoma CBG je ni course gani ya sayansi ambayo anaweza kusoma ili akimaliza atoke na ujuzi kichwani mbali na uhakika wa ajira. Ufaulu wake ni div 2 ya 11 yaani D flat.
Naomba kuwasilisha.
Nilisahau question mark!Acha uongo
Jinsi unavyotiririka napata wasiwasi na hiyo degree yako ya UD!!Olevel umesoma sayansi,A level umesoma madudu mengine,history,!!!HV huwa mmelogwa au?unapokuwa kidato cha pili,unatakiwa uwe unajua,utasoma masomo gani,kidato cha tatu,na unataka uwe nani huku duniani, dakitari, Muhandisi, Mtaalamu wa kilimo, ICT, Mwanasiasa, Mwalimu, Mwanasheria, nk, sasa ukipelekwa na upepo wa matokeo,inakuwa umepoteza muda,sasa wewe unataka kusoma IT,wakati kidato cha sita hukusoma sayansi!kwahiyo inabidi ukatumie cheti cha form four,sasa miaka miwili ya A level,siimepotea bure,,baada ya kumaliza form four, ungeenda DIT, ungepiga, diploma, miaka miwili, then unaunganisha mitatu tena sasa HV, ama ungekuwa unasoma bachelor In Engineering,au ungekuwa kazini,unalipwa mshahara.
Sie Anko zenu,tumemaliza form four 99,kulikuwa hakuna mitandao ya kijamii,no mobile phones,no smart phones,lakini tulijitaidi kupata taarifa,za kutosha ni nini tunataka maishani na nini tusome,sasa Leo kila kitu kipo,information on ur fingertips,!!!mnafeli wapi?!!!inakuwa kama mnasoma kama vipofu,mkigonga ukuta ndio mnajua mmefika,
Mimi niliamua kuwa nataka kuwa engineer nikiwa kidato cha pili.
Na niliihapa lazima nisome UD nikiwa darasa la saba,nilivutiwa na matamasha,ya siku ya mtoto was afrika yaliyokuwa yakifanyika UD ukumbi wa nkuruma.
Huwezi kwenda uni.Wakuu naomba msaada wenu Mimi nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2020 na mimebahatika kupata division 3 ya 14 kwa mchepuo wa CBG na kupata CHEMISTRY E,BIOLOGY E, GEOGRAPHY D kwa alama hizo naweza kuchaguliwa kujiunga na University