Seleman Mgasahb
Member
- Mar 8, 2018
- 14
- 4
hapo ndipo nilipokudharau
Wakuu Mimi nimemaliza Kidato cha Sita mwaka huu kwa mchepuo wa CBG Kwa kupata CHEMISTRY E, BIOLOGY E na GEOGRAPHY D Ivi naweza KUCHAGULIWA kujiunga na chuo chochote au nirudie MTIHANI na kama nikichagua kurudia nirudie masomo yapi?
Wakuu Mimi nimemaliza Kidato cha Sita mwaka huu kwa mchepuo wa CBG Kwa kupata CHEMISTRY E, BIOLOGY E na GEOGRAPHY D Ivi naweza KUCHAGULIWA kujiunga na chuo chochote au nirudie MTIHANI na kama nikichagua kurudia nirudie masomo yapi?
Ya advance au o levelMathematics umepataje kwanza
Hvi siku hzi utaratibu ukoje!??Deploma unapata degree nop hujatimiza point 4 kwa msomo mawil
Nyuzi nyingi sana wanauliza maswali haya wakati sisi tukiwa shule huwa tunayajadiri na kujua mapema kabisa. Huyu alikuwa dodgerCCM imeharibu kabisa elimu ya nchi hii.
Kama uliyeleta mada umehitimu kidato cha sita..basi hiki chama hakistahili kuendelea tena kutawala.
Pole kijana!
Kaka hiyo ngumu kwa mujibu wa TCU guidebook wanatak two principal pass zenye minimum point 4 yani inaweza kuwa DD au CEWakuu naomba msaada wenu Mimi nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2020 na mimebahatika kupata division 3 ya 14 kwa mchepuo wa CBG na kupata CHEMISTRY E,BIOLOGY E, GEOGRAPHY D kwa alama hizo naweza kuchaguliwa kujiunga na University
Unapata chuo sema ndo DiplomaWakuu Mimi nimemaliza Kidato cha Sita mwaka huu kwa mchepuo wa CBG Kwa kupata CHEMISTRY E, BIOLOGY E na GEOGRAPHY D Ivi naweza KUCHAGULIWA kujiunga na chuo chochote au nirudie MTIHANI na kama nikichagua kurudia nirudie masomo yapi?
Hvi siku hzi utaratibu ukoje!??
Hiyo si div 3 ya 14!??
Mbona miaka ya nyuma walipata nafasi vyuoni