Upcoming Developer
Member
- Aug 11, 2020
- 7
- 4
Vigezo anavyo au alikuwa anatak MD hpo ndio pagumu ila degree anptaMheshimiwa...
Kuna dogo ana CEE mwaka 2017 PCB Kwaio kumbe anaweza kupata chuo degree.
Anasema hana sifa ata mkopo ajaomba.
chagua upande unaoona ww sawa ndgu maisha hayo yte ni yako ww..ukibugi kuchagua sehemu nzuri unapigwa goli 3 safiNimemaliza form 6 comb PCM na matokeo yang ni div 2 point 10.
Physics. (D).
Chemistry. (D).
Adv.maths. (B).
kwa wazoefu mlioko chuoni, kwenye ajira na mliojiajili naombeni mnishauli faculty nzuri ya kusomea yenye uafadhali wa maslahi, urahisi wa kuajiliwa au kujiajili kama nikifanikiwa kumaliza chuo.
N.B mliosoma PCM na mko chuo au mmemaliza nahitaji zaidi mchango wenu
changamto wengi mnataka msome karibu na mliman cty shda inaanzia hapoi ndo utatakiwa uwe na div 1 ya 3Vigezo anavyo au alikuwa anatak MD hpo ndio pagumu ila degree anpta
Note: ushindani wa chuo na faculty muhumu kuanglia
kiwango cha juu cha pesa ambacho Bodi ya Mikopo wanalipa km ada ni Tshs 3100000samahan wakubwa hivi kwamfano umepata chuo cha private udaktari na mkopo ukapata asilimia100% je serkal hapo itakulipia shi ngapi ili na ww uongezee hio itakayobak maana kuna wengine wanasema M3 wengine M1.8 ipi ndo yenyewe
samahan wakubwa hivi kwamfano umepata chuo cha private udaktari na mkopo ukapata asilimia100% je serkal hapo itakulipia shi ngapi ili na ww uongezee hio itakayobak maana kuna wengine wanasema M3 wengine M1.8 ipi ndo yenyewe
drNimemaliza form 6 comb PCM na matokeo yang ni div 2 point 10.
Physics. (D).
Chemistry. (D).
Adv.maths. (B).
kwa wazoefu mlioko chuoni, kwenye ajira na mliojiajili naombeni mnishauli faculty nzuri ya kusomea yenye uafadhali wa maslahi, urahisi wa kuajiliwa au kujiajili kama nikifanikiwa kumaliza chuo.
N.B mliosoma PCM na mko chuo au mmemaliza nahitaji zaidi mchango wenu
vyuo vingi sanaaa utapata ukirudia utapoteza muda tena na mkopo wapataWakuu Mimi nimemaliza Kidato cha Sita mwaka huu kwa mchepuo wa CBG Kwa kupata CHEMISTRY E, BIOLOGY E na GEOGRAPHY D Ivi naweza KUCHAGULIWA kujiunga na chuo chochote au nirudie MTIHANI na kama nikichagua kurudia nirudie masomo yapi?
akasomee radiology ya mionzi inalipaKwa matokeo haya huyu mtu anaweza soma microbiology au bachelor of science in molecular biology and biotechnology pale udsm
Chem D
Bio D
Geo C
Bam S
Gs D
alafu msisahau ndgu zangu vyuo vya zamni miaka ile kuwa eti ukisoma pale ww ndo jembe wala hakuna tena sikuhizi ni ww tu unaeza kwenda Iringa na ukawa na soko sana kuliko wa udsm hapo...wengi wanaosoma vyuo vya mjini wanajiachia sana wako free muda wote kudanga...una dv yako 1 au 2 nenda zako TIA pale kapige kazi lakini mnakomaa na udsm kisa sinza kumekucha pako karibu mmhhh
Happy ndio unieleweshe kiongozi maana wengine wananiambia mkopo sipativyuo vingi sanaaa utapata ukirudia utapoteza muda tena na mkopo wapata
Nami msaada hapo kiongoziMwambie anichek nimpe mchongo,anaenda chuo vizr na boom anapokea
HakunaMdogo wangu kapata 2 ya 11 (DDC) anataka kusoma medical,is it possible?
=====
Habari wanaJF,
Leo Baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu nimeona ni vyema tuanzishe uzi huu maalumu ili tushauriane, tueleweshane, tuambiane nini cha kufanya na namna ya kuchagua vyuo.
Ikumbukwe TCU wana vigezo kwa ajili ya kujiunga na elimu ya juu.
Karibuni.
Chuo gani mkuuakasomee radiology ya mionzi inalipa
Environment health services hakika hautojuta.Kwa matokeo haya ya advance kozi gani ya afya ntapata?
Bios C
Chem D
Phys E
Haendi ilitakiwa apate kuanzia DDEEti huyu anaweza kwenda University yoyote by TCU standards
Principal alizopata: EED....