Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

Nimemaliza form 6 comb PCM na matokeo yang ni div 2 point 10.

Physics. (D).

Chemistry. (D).

Adv.maths. (B).

kwa wazoefu mlioko chuoni, kwenye ajira na mliojiajili naombeni mnishauli faculty nzuri ya kusomea yenye uafadhali wa maslahi, urahisi wa kuajiliwa au kujiajili kama nikifanikiwa kumaliza chuo.

N.B mliosoma PCM na mko chuo au mmemaliza nahitaji zaidi mchango wenu
chagua upande unaoona ww sawa ndgu maisha hayo yte ni yako ww..ukibugi kuchagua sehemu nzuri unapigwa goli 3 safi
 
alafu msisahau ndgu zangu vyuo vya zamni miaka ile kuwa eti ukisoma pale ww ndo jembe wala hakuna tena sikuhizi ni ww tu unaeza kwenda Iringa na ukawa na soko sana kuliko wa udsm hapo...wengi wanaosoma vyuo vya mjini wanajiachia sana wako free muda wote kudanga...una dv yako 1 au 2 nenda zako TIA pale kapige kazi lakini mnakomaa na udsm kisa sinza kumekucha pako karibu mmhhh
 
samahan wakubwa hivi kwamfano umepata chuo cha private udaktari na mkopo ukapata asilimia100% je serkal hapo itakulipia shi ngapi ili na ww uongezee hio itakayobak maana kuna wengine wanasema M3 wengine M1.8 ipi ndo yenyewe
 
kiwango cha juu cha pesa ambacho Bodi ya Mikopo wanalipa km ada ni Tshs 3100000
 
samahan wakubwa hivi kwamfano umepata chuo cha private udaktari na mkopo ukapata asilimia100% je serkal hapo itakulipia shi ngapi ili na ww uongezee hio itakayobak maana kuna wengine wanasema M3 wengine M1.8 ipi ndo yenyewe

Binafsi navyojua board inatoa grant Kam 1.2M .
Alafu kiongozi, hiyo 1.8M Ni tution fees ya MD katika vyuo vya public / serikali kwahiyo hiyo aslimia 100% Ni sawa na 1.2M, kwhyo uta itolea hapo kwenye tution fees utapat kias ambacho utakilipa.
 
Nimemaliza form 6 comb PCM na matokeo yang ni div 2 point 10.

Physics. (D).

Chemistry. (D).

Adv.maths. (B).

kwa wazoefu mlioko chuoni, kwenye ajira na mliojiajili naombeni mnishauli faculty nzuri ya kusomea yenye uafadhali wa maslahi, urahisi wa kuajiliwa au kujiajili kama nikifanikiwa kumaliza chuo.

N.B mliosoma PCM na mko chuo au mmemaliza nahitaji zaidi mchango wenu
dr
 
Wakuu Mimi nimemaliza Kidato cha Sita mwaka huu kwa mchepuo wa CBG Kwa kupata CHEMISTRY E, BIOLOGY E na GEOGRAPHY D Ivi naweza KUCHAGULIWA kujiunga na chuo chochote au nirudie MTIHANI na kama nikichagua kurudia nirudie masomo yapi?
vyuo vingi sanaaa utapata ukirudia utapoteza muda tena na mkopo wapata
 
Kwa matokeo haya huyu mtu anaweza soma microbiology au bachelor of science in molecular biology and biotechnology pale udsm
Chem D
Bio D
Geo C
Bam S
Gs D
akasomee radiology ya mionzi inalipa
 
Tulia wewe, unajua maana ya kipaumbele?
alafu msisahau ndgu zangu vyuo vya zamni miaka ile kuwa eti ukisoma pale ww ndo jembe wala hakuna tena sikuhizi ni ww tu unaeza kwenda Iringa na ukawa na soko sana kuliko wa udsm hapo...wengi wanaosoma vyuo vya mjini wanajiachia sana wako free muda wote kudanga...una dv yako 1 au 2 nenda zako TIA pale kapige kazi lakini mnakomaa na udsm kisa sinza kumekucha pako karibu mmhhh
 
Naombeni msaada kuhusu course ya bachelor of radiation therapy inayotolewa pale muhas na je soko lake la ajira likoje?
Nawasilisha
 
Kwa matokeo haya ya advance kozi gani ya afya ntapata?
Bios C
Chem D
Phys E
 
Mdogo wangu kapata 2 ya 11 (DDC) anataka kusoma medical,is it possible?

=====

Habari wanaJF,

Leo Baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu nimeona ni vyema tuanzishe uzi huu maalumu ili tushauriane, tueleweshane, tuambiane nini cha kufanya na namna ya kuchagua vyuo.

Ikumbukwe TCU wana vigezo kwa ajili ya kujiunga na elimu ya juu.

Karibuni.
Hakuna
 
Back
Top Bottom