Unanunua kiasi gani ?Mchele,unga wa ugali ,ngano ,mafuta ,sukari ,maharagwe ,samaki ,dagaa ,njegele,karoti ,hoho,nyanya maji,vitunguu saumu,vitunguu maji,matunda,viazi mviringo,tambi,mayai,viungo vya mboga,pilau na chai e.t.c
Nyama na maini huwa nanunua fresh
Nice Mzee, so damage huwa ni kama shilling ngapi kwa mwezi?Unga kg 25, Mchele 10 kg, Dagaa Kg kadhaa( huwa naongeza baada ya muda), vitunguu kg 2, Mafuta lt 5, Sukari Kg 5, Gesi full, Luku 10k, maharage kg 5, Siagi nusu Kg, maziwa. ya unga kg 2. vitu kama nyanya na mboga huwa nabadili mara njegere mara dagaa mchele na mambo yanakuwa fresh
hapo mwezi natoboa japo ni jeshi la mtu mmoja ila wanangu huwa wananiibukia weekend so tunatoa kitu kama kawa.
Paste ya nyanya inabidi ukoshe kata kuondoa mbegu iwapo una blender saga zipike vema ukiziweka kitunguu maji na swaumu na chumvi kidogo pika ziive vizuri eoua acha zipoe vema Kisha jaza katika vikopo Kama vile vya peanut butter kila kikopo kiwe kwa matumizi ya siku 3 Hadi 4Unatengenezaje hizo paste
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu hawa wanakuletea habari za nyama na sato utafikili una ajira TRA,Single kwa sasa.
Uvivu tu wa kutype mkuu nikiwa home nitapiga picha yale manunuzi nitatupia uoneUnanunua kiasi gani ?
😄😄😄😄Nyanya nanunua sado moja naweka kwenye friji
Carrot nanunua 2kg naweka kwenye mfuko natia kijiko naweka hata chini
Vitunguu 2kg naweka kwenye kitenga
Hoho mixer 3kg
Brocoli 2kg
Fresh beans 1kg
Zucchin 2kg nafunga kwenye mfuko kisha frijini
Tangawizi 1/2 nasaga naweka kwenye kopo natia kwenye friji
Viazi debe moja naweka sakafuni
Kwani nyama na sato ni kwaajili ya wenye nazo tu mkuu?Mkuu hawa wanakuletea habari za nyama na sato utafikili una ajira TRA,
Uzoefu wangu
Jifunze kupika matembele, mboga ya mayai, viazi mviringo mixa na nyanya, nyama nunua kwa wanao zungusha mtaani in case ukijisikia lakini
- Mchele kilo 45 (unatoboa miezi minne)
- Unga kilo 10 (usiongeze utaharibika)
- Maharage ya njano kilo 3 (nunua mapya huwa yanatumia mkaa kidogo kuiva)
- Sukari kilo 1
- Chumvi pakti mbili za 500
- Hakikisha gas iko full
- Mkaa nunua kidogo kidogo
Utatoboa zaidi ya mwezi
NB: Epuka mademu wale wanaotaka pesa kupitiliza tongoza wengi wengi utampata mmoja asiye tumia pesa sana
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wewe utakuwa una ajira mkuu
Paste ya nyanya inabidi ukoshe kata kuondoa mbegu iwapo una blender saga zipike vema ukiziweka kitunguu maji na swaumu na chumvi kidogo pika ziive vizuri eoua acha zipoe vema Kisha jaza katika vikopo Kama vile vya peanut butter kila kikopo kiwe kwa matumizi ya siku 3 Hadi 4
Paste ya kitunguu maji na swaumu pamoja na giligilani saga TU ujaze katika chombo chenye mfuniko haiharibiki kwa muda wote wa matumizi labda uchote na chombo au kijiko chenye maji
Ukiweka kijiko kwenye Carrot inasaidia nini ?
Tunaotegemea kazi za kijungujiko huwa hatuli nyama wala sato hata miezi miwili mfululizo,Kwani nyama na sato ni kwaajili ya wenye nazo tu mkuu?
Virutubisho vinakufa angalia usije ukaharibu afya ya watoto kwa kuwapikia paste iliyowekwa siku 3This is brilliant idea
Copied
Hapana bwana usijitese hivyo,kama unapenda kula hivyo vitu,nyama kilo moja 9000,samaki badala ya kununua sato,unanunua sangala kilo moja 8500,ukikata kata vipande unapata vingi tu halafu sangala nyama yake inavimba tofauti na sato.Tunaotegemea kazi za kijungujiko huwa hatuli nyama wala sato hata miezi miwili mfululizo,
Ila unasurvive kibishi mpaka majirani wanashangaa wanajua una pesa nyingi
Asante kwa ushauri Mkuu.Mkuu hawa wanakuletea habari za nyama na sato utafikili una ajira TRA,
Uzoefu wangu
Jifunze kupika matembele, mboga ya mayai, viazi mviringo mixa na nyanya, nyama nunua kwa wanao zungusha mtaani in case ukijisikia lakini
- Mchele kilo 45 (unatoboa miezi minne)
- Unga kilo 10 (usiongeze utaharibika)
- Maharage ya njano kilo 3 (nunua mapya huwa yanatumia mkaa kidogo kuiva)
- Sukari kilo 1
- Chumvi pakti mbili za 500
- Hakikisha gas iko full
- Mkaa nunua kidogo kidogo
Utatoboa zaidi ya mwezi
NB: Epuka mademu wale wanaotaka pesa kupitiliza tongoza wengi wengi utampata mmoja asiye tumia pesa sana
Samaki kg 4 na nyama kg 10?mchele kilo 10, unga muogo kilo 3, sembe kilo 6, samaki sato kg 4, nyama kg 10, mayai trei 1, sukari kg2 , chumv paket 3 . Vitu vingine bora uwe unanunua kwa wiki ili visioze kama nyanya , vitunguu maj/saumu, limao, matunda, mbogamboga, tangawz list kubwa sana..
Bank ya dagaa sio[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe weka Bank ya dagaa na sembe .Kazi inabaki kuzianika juani tu .