COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Ana Chuo au sekondari?Nunua
1)sembe tani 1
2)mchele tani 1
3)sukari tani 1
4)dagaa tani 1
hapo mwez unakata kiulaiiiiiiiin kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana Chuo au sekondari?Nunua
1)sembe tani 1
2)mchele tani 1
3)sukari tani 1
4)dagaa tani 1
hapo mwez unakata kiulaiiiiiiiin kabisa.
Lakini hizi mboga nazo zinavitu vyake vyakupika pamoja kama nyanya, vitunguu, carrot, spices etc. Navyo huwa unanunua kiasi gani?
Kwa upande wangu na familia yangu, Maharage kilo 10,Unga kilo 20, mchele kilo 40, mafuta ya kula Lita 10 hapo naua mwezi vizuri, na ubaoni inaachwa kumi na Tano matumizi mboga na mengineyo. Japo weekend Hali huwa tofauti.Habari za jioni wakuu,
Binafsi nimekuwa nikipitia changamoto sana nifanyaje au ninunue vyakula gani ambayo vitaweza kunifikisha mwezi mzima.
Naombeni uzoefu wenu katika hili, ni nini unazingatia, utaratibu upi unautumia kwenye kufanya manunuzi ya chakula.
Ukiweza kusema ni vyakula gani huwa unapendelea kununua na kuweka ndani itakuwa vyema zaidi. Asanteni, Uzi tayari.
Unaweza kuelezea, let say nyanya, hoho,vitunguu unanunua za shilingi ngapi? Na huwa unaizitunza vipi?
Asante Mkuu, familia inawatu wangapi?Kwa upande wangu na familia yangu, Maharage kilo 10,Unga kilo 20, mchele kilo 40, mafuta ya kula Lita 10 hapo naua mwezi vizuri, na ubaoni inaachwa kumi na Tano matumizi mboga na mengineyo. Japo weekend Hali huwa tofauti.
Asante Mkuu.Hali ikiwa nzuri
Mchele 15kgs
Unga kg 15
Maharagwe sado 1
Sukari kg 3
Chumvi 1kg
Ngano 5kg
Mafuta kula 5litres
Gas tank ndogo
Mkaa kiroba kidogo
Maziwa fresh ¾ litre daily
Mboga mboga
nyama
Ndizi/viazi
manunuzi mara 2 kwa wiki, familia ndogo hiyo lakini baba, mama na mtoto
Ukiweka kijiko kwenye Carrot inasaidia nini ?Nyanya nanunua sado moja naweka kwenye friji
Carrot nanunua 2kg naweka kwenye mfuko natia kijiko naweka hata chini
Vitunguu 2kg naweka kwenye kitenga
Hoho mixer 3kg
Brocoli 2kg
Fresh beans 1kg
Zucchin 2kg nafunga kwenye mfuko kisha frijini
Tangawizi 1/2 nasaga naweka kwenye kopo natia kwenye friji
Viazi debe moja naweka sakafuni
Na hawa kunguru mzungu SI itabidi uajiri muangalizi Tena mkuuWewe weka Bank ya dagaa na sembe .Kazi inabaki kuzianika juani tu .
Saba.Asante Mkuu, familia inawatu wangapi?
Mbona kama Unga na mchele ni kidogo sana kwa familia ya watu 4. Unaweza kuelezea unavyoitengeneza tomato paste, kama hutojali?Mahitaji ya mwezi kwa familia ya watu wa 4.
Nyama kilo 7.5
Samaki kilo 7.5
Nyanya kilo 10 hizi natengeza paste
Haharibiki kata miezi 6
Vitungu kilo 2 natengeza paste ya miezi 2
Maharage kilo 2
Mchele kilo 5
Unga kilo 10
Mboga za majani ninazo Kama maua
Unga wa Uji kilo 5
Unatengenezaje hizo pasteMahitaji ya mwezi kwa familia ya watu wa 4.
Nyama kilo 7.5
Samaki kilo 7.5
Nyanya kilo 10 hizi natengeza paste
Haharibiki kata miezi 6
Vitungu kilo 2 natengeza paste ya miezi 2
Maharage kilo 2
Mchele kilo 5
Unga kilo 10
Mboga za majani ninazo Kama maua
Unga wa Uji kilo 5
Inategemea mko wangapi😳 Mchele kilo kumi unafika mwezi? Na vitu vidogo vidogo kama vitunguu, nyanya unanunua kiasi gani?