Karibu tushauriane na kupeana uzoefu wa manunuzi ya chakula kwa ajili ya mwezi mzima

Ugali beanz mchana usiku wali beanz mpaka tuelewane...
 
Nimejifunza mengi,
Kikubwa nikufanyia marekebisho kwa pale nilipoboronga kwa maendeleo na ustawi wa familia Bora.
 
Nikishanunua Dona 15kg Michele 10, mafuta Ya kupikia, na kujaza gesi basi. Nakuwa nabadili mboga tu. Kila Siku Asubuhi Kahawa, mchana Dona jioni wali/ pilau Hadi mwezi unaisha
Ila kukaa single kuna raha yake aisee!
 
Sijaona aliyeweka sabuni ya kufulia na kuogea,ama watu hawafui na kuoga humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…