Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ipi hiyo Mamii?Watakuuliza mechanism
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi hiyo Mamii?Watakuuliza mechanism
Ni uoga wake wa maisha huo, mambo ya kununu dagaa na maunga kuweka stock sioUnanunua vyakula kwa jumla kwani Tanzania kuna vita?
Ugali beanz mchana usiku wali beanz mpaka tuelewane...Kilo tatu za maharage means unakuwa unakula baadhi ya siku, unapima kikombe kimoja unanunua mkaa wa miatano unabandika yakiiva unayaunga unakula siku nzima na kesho yake asubuhi unayamalizia,
Mboga mboga ndio za kununua kidogo kidogo ili zisiharibike
Kuhusu chumvi hata huwa haitumiki sana pakti usishangae ikatoboa mwezi na siku kadhaa
Kuhusu sukari chai unakunywa mara moja moja
90k mpaka lakiNice Mzee, so damage huwa ni kama shilling ngapi kwa mwezi?
Ha haa tuwulize watu wa food scienceYa kwanini malimao yanafanya nyanya isiharibike🤔
Ila kukaa single kuna raha yake aisee!Nikishanunua Dona 15kg Michele 10, mafuta Ya kupikia, na kujaza gesi basi. Nakuwa nabadili mboga tu. Kila Siku Asubuhi Kahawa, mchana Dona jioni wali/ pilau Hadi mwezi unaisha