Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hyo mkilioa ushuru n thn gari mnanikabidhi ikishatoka au?Ungependa kuagiza gari gani kutoka be forward?
Usijali kuhusu ushuru na gharama zingine za bandari, ukiagiza kutoka BE FORWARD kupitia kampuni yetu, tutakulipia hizo gharama za ushuru , bandari.
Wewe utalipa uagizaji tuu.
Wasiliana nasi leo!
Weka tu picha na maelezo machacheNingeweza kuweka link hapa
Ya machaguo yote makali ya Imprezza. Ila kwa bahati mbaya sheria za jukwaa hili zinanitaka nisiweke link
Kwa maana hiyo basi unaweza nitumia ujumbe wa Whatsapp, niweze kukupa link uangalie subaru imprezza zote kali tulizonazo
Nalipa na kuondoka?Toyota Kluger
▫️Manufacture Year: 2006
▫️Engine Capacity Cc: 2,390
▫️Mileage: 145,456 km
▫️Engine Code : 2AZ
▫️Fuel: Petrol
▫️Transmission: Automatic
Price: 13,085,000/= ( TO 🇹🇿/DAR PORT )
View attachment 1995601
SafiSababu wanataka wale cha juu
hiyo sio gari ni bora hiyo hela ukabetmkuu gari ya aina nissan dualis automatic itagharimu kiasi gani mpka itoke nnje?
Ungependa kuagiza gari gani kutoka be forward?
Usijali kuhusu ushuru na gharama zingine za bandari, ukiagiza kutoka BE FORWARD kupitia kampuni yetu, tutakulipia hizo gharama za ushuru , bandari.
Wewe utalipa uagizaji tuu.
Wasiliana nasi leo!
Halafu mkishalipia gharama za ushuru inakuaje, mnahodhi umiliki kama Wachina na airport ya Kampala? Mnaficha ficha details za nini kama kampuni yenu sio ya upigaji ?
Mhhh. Hebu fafanua vizuri.Ungependa kuagiza gari gani kutoka be forward?
Usijali kuhusu ushuru na gharama zingine za bandari, ukiagiza kutoka BE FORWARD kupitia kampuni yetu, tutakulipia hizo gharama za ushuru , bandari.
Wewe utalipa uagizaji tuu.
Wasiliana nasi leo!
Iko hivi ;Mhhh. Hebu fafanua vizuri.
Mfano gari inauzwa milioni kumi hadi bandarini na ushuru wake ni milioni 10. Nyie mnalipa nini hapo? Na kwanini mlipe? Na je nyie mnafaidikaje sasa kama mnawalipia watu ushuru? Fafanua kidogo mkuu.
Iko hivi ;
Umeona tuseme labda Toyota Harrier, umeipenda. Kiasi ulichonacho wewe ni hizo 10mil pekee, na hauna hicho kiasi kingine kwaajili ya kulipia ushuru.
Hapo sasa, ukiagiza kupitia sisi (baada ya kujaza mkataba ) , gari lako likifika ushuru unalipiwa na kampuni (EAPGS)
Inakuja ofisini unachukua gari lako, malipo hayo tuliyolipia, unarudisha taratibu kila mwezi, maximum time ni miezi kumi na miwili ( mwaka )
Kumbuka kwamba, sio lazma sisi tulipe, lakini tu ikiwa itatokea mteja ametamani gari fulani ila kwa namna fulani budget yake haiweI kutoshelezea kulipia uagizaji na ushuru, hapo sisi ndio huduma yetu inapohusika.
Mkuu hii bei ni kila kitu au kuna gharama za ziada?Toyota Rumion
▫️Manufacture Year: 2010
▫️Engine Capacity Cc: 1,490
▫️Mileage: 133,673 km
▫️Engine Code : 1NZ
▫️Fuel: Petrol
▫️Transmission: Automatic
Price: 9,387,000/= ( TO 🇹🇿/DAR PORT )
View attachment 1994632
Hiyo bei sio kila kitu,Mkuu hii bei ni kila kitu au kuna gharama za ziada?