Car4Sale Karibu uagize kutoka Be forward!

Ungependa kuagiza gari gani kutoka be forward?

Usijali kuhusu ushuru na gharama zingine za bandari, ukiagiza kutoka BE FORWARD kupitia kampuni yetu, tutakulipia hizo gharama za ushuru , bandari.

Wewe utalipa uagizaji tuu.

Wasiliana nasi leo!
kwa hyo mkilioa ushuru n thn gari mnanikabidhi ikishatoka au?

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Ningeweza kuweka link hapa
Ya machaguo yote makali ya Imprezza. Ila kwa bahati mbaya sheria za jukwaa hili zinanitaka nisiweke link

Kwa maana hiyo basi unaweza nitumia ujumbe wa Whatsapp, niweze kukupa link uangalie subaru imprezza zote kali tulizonazo
Weka tu picha na maelezo machache
 
Toyota Kluger

▫️Manufacture Year: 2006
▫️Engine Capacity Cc: 2,390
▫️Mileage: 145,456 km
▫️Engine Code : 2AZ
▫️Fuel: Petrol
▫️Transmission: Automatic

Price: 13,085,000/= ( TO 🇹🇿/DAR PORT )

View attachment 1995601
Nalipa na kuondoka?
 
mkuu gari ya aina nissan dualis automatic itagharimu kiasi gani mpka itoke nnje?
 
Ungependa kuagiza gari gani kutoka be forward?

Usijali kuhusu ushuru na gharama zingine za bandari, ukiagiza kutoka BE FORWARD kupitia kampuni yetu, tutakulipia hizo gharama za ushuru , bandari.

Wewe utalipa uagizaji tuu.

Wasiliana nasi leo!

Halafu mkishalipia gharama za ushuru inakuaje, mnahodhi umiliki kama Wachina na airport ya Kampala? Mnaficha ficha details za nini kama kampuni yenu sio ya upigaji ?
 
Details gani zimefichwa?
Kuhodhi umiliki unamaanisha nini?

Taarifa zote za msingi tumeweka hapa bayana.

Ahsante.
 
Ungependa kuagiza gari gani kutoka be forward?

Usijali kuhusu ushuru na gharama zingine za bandari, ukiagiza kutoka BE FORWARD kupitia kampuni yetu, tutakulipia hizo gharama za ushuru , bandari.

Wewe utalipa uagizaji tuu.

Wasiliana nasi leo!
Mhhh. Hebu fafanua vizuri.

Mfano gari inauzwa milioni kumi hadi bandarini na ushuru wake ni milioni 10. Nyie mnalipa nini hapo? Na kwanini mlipe? Na je nyie mnafaidikaje sasa kama mnawalipia watu ushuru? Fafanua kidogo mkuu.
 
Iko hivi ;

Umeona tuseme labda Toyota Harrier, umeipenda. Kiasi ulichonacho wewe ni hizo 10mil pekee, na hauna hicho kiasi kingine kwaajili ya kulipia ushuru.

Hapo sasa, ukiagiza kupitia sisi (baada ya kujaza mkataba ) , gari lako likifika ushuru unalipiwa na kampuni (EAPGS)

Inakuja ofisini unachukua gari lako, malipo hayo tuliyolipia, unarudisha taratibu kila mwezi, maximum time ni miezi kumi na miwili ( mwaka )

Kumbuka kwamba, sio lazma sisi tulipe, lakini tu ikiwa itatokea mteja ametamani gari fulani ila kwa namna fulani budget yake haiweI kutoshelezea kulipia uagizaji na ushuru, hapo sisi ndio huduma yetu inapohusika.
 
bado unaficha ficha issue

hizo kodi mnazozilipa ni mkopo wa bure ?

unashindwa nini kutangaza biashara kwa uwazi na kwa kiume ?

What’s in it for you ??????
 
Toyota Rumion

▫️Manufacture Year: 2010
▫️Engine Capacity Cc: 1,490
▫️Mileage: 133,673 km
▫️Engine Code : 1NZ
▫️Fuel: Petrol
▫️Transmission: Automatic

Price: 9,387,000/= ( TO 🇹🇿/DAR PORT )

View attachment 1994632
Mkuu hii bei ni kila kitu au kuna gharama za ziada?
 
Hiyo bei sio kila kitu,

Ni manunuzi tuu mzee, hadi kuifikisha gari hapa bandarini ( Dar es salaam )

Ni juu yako sasa wewe, kusema tukulipie ushuru kisha uturejeshee kiasi tulichokulipia kwa muda wa miezi kumi na mbili ( kwa utaratibu wa kila mwezi wa malipo ) au utalipia mwenyewe ushuru.

Yote ni maamuzi yako ; kazi yetu kubwa ni kuhakikisha unamiliki chombo!!
 
Back
Top Bottom