Asante sana mkuu Manyanza kwa kunisaidia.Roho mbaya na upuuzi mwingi haukujengi fala wewe. Dada anajulikana na yuko verified na taarifa zake uongozi wa Jamiiforums unazifahamu.
Endelea hivyo hivyo na ikiwezekana jifunze na uchawi fala wewe
Sawa Madame B sio mbayaWanaoongea ndio wananijua na si hao tu.
Najulikana kuanzia kwenye uongozi wa Jf mpaka uongozi wa Serikali.
Hii Nilikuwa Naiona Kitunda Kivule, Msongola Kwa Wamakondehakikisha huyo mtu hatokei kusini mwa Tanzania ...haitajlisha mkataba ....utaasahu hilo jengolako na hicho kiwanja milele
Madame B Fuata ushauri huu
Kwa dom usiuze we imalizie taratibu kuliko kutaka kufanya hivyo ulivyopanga kufanya. Ndachi kuna uhuni mwingi sana kwenye maeneo na nyumba.Asante sana.
Nilikuwa na wazo la kuuza ila nikawaza kuwa nikihamia Mbeya pia nako nikijenga nitauza tena?
Pia hii njia inaweza kuwa msaada kwa wengine pia
Hatarudia tena huyo boya maisha anayoishi mtaani na makasiriko yake asiyalete humuAsante sana mkuu Manyanza kwa kunisaidia.
Wakatisha tamaa wapo wengi tu humu.
Cha msingi ni kuacha kuwajibu ili tuone watafaidika na nini.
Asante sana kaka kwa kunisaidia
Aminaaa!Maoni yangu;
Hii nyumba bado inahitajika fedha nyingi kuifanya iwe habitable kwa viwango vya kisasa. Mtu anayemiliki fedha za kutosha kufanya hiyo finishing kuitoa hapo ilipo, ni aghalabu kuwa na appetite ya kupanga nyumba ya size hiyo maeneo hayo achilia mbali kuweka pesa zake kukamilisha nyumba ya mtu mwingine.
Kwa walio na uzoefu, Gharama zilizobaki kuiweka sawa hiyo nyumba ni kubwa kuliko ulizokwishatumia hadi hatua uliyopo.
Ushauri;
1) Tafuta mpangaji wa bei rahisi atakayeridhika kukaa jinsi ilivyo hata akikulipa 30,000 pokea. Jikusanye umalizie nyumba kwa viwango unavyopendelea.
2) Uza.
By the way, si unalipwa uhamisho wewe? Utamaliza tu dada, nakuombea.
Hayo mambo yapo sana mkuu, huko kigamboni kuna moja nalo ni hvyo hivyo.Hao wahuni hatari wapo maeneo ya Ununio. Wamakonde wanaishi kwenye ghorofa ambalo hawafanani nalo π€£π€£π€£
Anachotakiwa Kufanya Kwasasa Aache Nyumba IlivyoKwa dom usiuze we imalizie taratibu kuliko kutaka kufanya hivyo ulivyopanga kufanya. Ndachi kuna uhuni mwingi sana kwenye maeneo na nyumba.
Nia yako ni nzuri sana kusaidia ila kupitia hilo wabaya nao wanaona ni fursa. Kuna mzee alisahaulishwa nyumba yake kwa zaidi ya miaka 25 mpaka yule alivyofanya hivyo alivyokufa.
Naelewa sana Mkuu ndio namsisitiza huyu DadaHayo mambo yapo sana mkuu, huko kigamboni kuna moja nalo ni hvyo hivyo.
Kama haifiki kwanini usitoe bei wewe nyumba ipo finishing hiyo.Haifiki hiyo bei.
Acha jambo kama hujui