Leo sioni picha front pg jmn, JF wamekuwaje??Mjini kati
Wajasiriamali wadogowadogo
(Wamachinga,vyakura +)
Zipo nafasi nyingi sana za kuweka Biashara zenu
Kuanzia Makoroboi,dampo,
sahara,Tanganyika nk
Wakati unapanga Bajeti yako Usisahau
kubeba 20,000/=
ya kitambulisho
cha serekali (mambo ya ujanjaujanja hayapo )
0767241001
Utaratibu wao mkuuLeo sioni picha front pg jmn, JF wamekuwaje??
Natamani ingekuwa mwezi wa sabaNyegezi stendi!!!
Chumba,sebure&choo ndani
Maji& Umeme 24/7
Kisima kipo kama
maji yatakatika
Dakika 10 toka stendi Nyegezi
Bei lk1 kwa mwez x 6 =600,000/=
0767-241001
0620-690670
NB
Njoo umejiandaa,
tueleze sifa za Nyumba unayotaka,wapi,Bajeti
yako (Kupitia what's up yetu VD)
sisi kazi yetu n kukutafutia
View attachment 1126571
N kweli kabisa ndugu yangu (Dagaa Wa Mwanza) wkt mwingine nyumba za namna hii zinajitokezaga Mara chache sana ukiona kapo wazi ujue MTU kahamia kwakeNatamani ingekuwa mwezi wa saba
Nimeichukua namba yako mkuu!N kweli kabisa ndugu yangu (Dagaa Wa Mwanza) wkt mwingine nyumba za namna hii zinajitokezaga Mara chache sana ukiona kapo wazi ujue MTU kahamia kwake
Muda ukifika ntakupa Nyumba nzuri tunza Namba yangu tu
Njoo what's up boss 0767241001Naweza kupata eneo karibu na ziwa
Mzee Baba Mwanza unijua kweli Kweli Sweya, nyamalango na Maeneo ya mwika kijiweni nimekaaa pale. Hayo Maeneo viwanja vinapatikana kwa Bei ya ngapi?Inawezekana kabisa mkuu, wapi sasa ujue maeneo krbu na ziwa n mengi sana kuanzia Burale,luchelele,Swea, Bwiru,Igombe nk
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hayo maeneoa n karibu Na SAUT bei zimechangamka Sana kuanzia 10mil kwenda juu ni eneo LA kawaida tuMzee Baba Mwanza unijua kweli Kweli Sweya, nyamalango na Maeneo ya mwika kijiweni nimekaaa pale. Hayo Maeneo viwanja vinapatikana kwa Bei ya ngapi?
Kanyumba kazuri sanaNyegezi
Apartment
Vyumba 2
Sebure
Master room 1
Public toilet
Jiko
Store
Fensi kubwa
Camera security
Bei mil 3.5 miezi sita anapokea
View attachment 1127813View attachment 1127814View attachment 1127816View attachment 1127817
NBKanyumba kazuri sanaView attachment 1127818