nyumbanzuribeinzuri
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 2,144
- 276
- Thread starter
-
- #201
Ukipanga hii Nyumba unapewa nyongeza ya kajumba kadogo hako kanakoonekana kwenye pichaBwiru
Nyumba Kubwa
Vyumba 9
Master room 3
Sebure chini Na juu
Dinning chini Na juu
Fensi kubwa
Krbu Na Barabara ya Bwiru
Public Toilet chini Na juu
Bei mil 1.8 kwa mwenzi
Karibu sana
0767-241001(what's up)
0620-690670
NB
Tuambie Nyumba/Kiwanja unachotaka,sehemu,
kimepimwa/hakijapimwa LINI
tutakutafutia popote MwanzaView attachment 1128156View attachment 1128157View attachment 1128159View attachment 1128161View attachment 1128163View attachment 1128164View attachment 1128165
Ubarikiwe sana ,,, ushauri murua#Zaidi#ya#biashara#
A.LEO NTATOA SABABU ZA
KWANINI TUWATUMIE
MA-AFISA ARDHI AU
WANASHERIA KABLA YA
KUNUNUA KIWANJA AU
NYUMBA!!!
I.Afisa Ardhi anajua Ramani
zima ya Jiji
(zipo kwenye raptop/simu zao),
wapi kunamakaburi,soko,eneo la
wazi,Viwanda,makazi nk. hata
kama hapajapimwa.
II.Afisa Ardhi anasaidia sana
kuepusha migogoro isiyo ya
lazima kwa mnunuaji,muuzaji
au dalali (kwa hiyo hapa
unaondoa usumbufu wa kesi
ambazo sio muhimu na sizitaki)
III.Mwanasheria yeye anasaidia
kulinda haki ya mnunuaji au
muuzaji endapo mmoja kati
yao atabadilika au ataibua
jambo lolote badae
GHARAMA
Gharama ya kuwawalipa hawa watu wawili n ndogo sana haizidi lk 3, naomba muwatumie sana hawa watu wapo kwa ajili yenu wateja wangu (angalia Kiwanja ukikipenda leta hawa jamaa unawahi wapi?
Kama hauna au uwafahamu kabisa mm ntakupatia lkn gharama utalipa ww Mteja wangu
NB :-1
Kwanini unato mamilioni ya Pesa kabla ya kujilidhisha kupitia hawa watu wawili (Afisa Ardhi&Mwanasheria)Mimi naita ubaili wa ajabu!!!
Binafsi mwaka wa 11 huu sipajui Polisi wala mahakani toka nimeaza hizi kazi zangu SABABU KUBWA N UWEPO WA HAWA WATU WAWILI.
Huu ni ushauri wa Bure utumie popote sio lazima kwangu,utakapo pata wazo LA kununua Ardhi au Nyumba msisahau kuna HATI FEKI,BIKONI FEKI, RAMANI FEKI.
Mungu awabariki sana wateja wangu,Muwe na jumapili Njema
Karibuni sana
0767-241001
0620-690670
MB:-2
Sema unataka wapi Kiwanja/Nyumba,lini,bajeti yako,sisi kazi yetu n kukutafutia popote kulingana na Nahitaji yako
Asante mkuuUbarikiwe sana ,,, ushauri murua
Ww n zaidi ya dalali!!! unaakili nyingi sana, unatupenda wateja wako hadi unakera!!! samahani hivi ulisema umehishia LA ngapi???#Zaidi#ya#biashara#
A.LEO NTATOA SABABU ZA
KWANINI TUWATUMIE
MA-AFISA ARDHI AU
WANASHERIA KABLA YA
KUNUNUA KIWANJA AU
NYUMBA!!!
I.Afisa Ardhi anajua Ramani
yote ya Jiji
(zipo kwenye raptop/simu zao),
wapi kunamakaburi,soko,eneo la
wazi,Viwanda,makazi nk. hata
kama hapajapimwa.
II.Afisa Ardhi anasaidia sana
kuepusha migogoro isiyo ya
lazima kwa mnunuaji,muuzaji
au dalali (kwa hiyo hapa
unaondoa usumbufu wa kesi
ambazo sio muhimu na sizitaki)
III.Mwanasheria yeye anasaidia
kulinda haki ya mnunuaji au
muuzaji endapo mmoja kati
yao atabadilika au ataibua
jambo lolote badae
B.GHARAMA
Gharama ya kuwawalipa hawa watu wawili n ndogo sana haizidi lk 3, naomba muwatumie sana hawa watu wapo kwa ajili yenu wateja wangu (angalia Kiwanja/Nyumba ukiipenda leta hawa jamaa unawahi wapi?
Kama hauna au uwafahamu kabisa mm ntakupatia lkn gharama utalipa ww Mteja wangu
NB :-1
Kwanini unato mamilioni ya Pesa kabla ya kujilidhisha kupitia hawa watu wawili (Afisa Ardhi&Mwanasheria)Mimi naita ubaili wa ajabu!!!
Binafsi mwaka wa 11 huu sipajui Polisi wala mahakani toka nimeaza hizi kazi zangu SABABU KUBWA N UWEPO WA HAWA WATU WAWILI.
Huu ni ushauri wa Bure utumie popote sio lazima kwangu,utakapo pata wazo LA kununua Ardhi au Nyumba msisahau kuna HATI FEKI,BIKONI FEKI, RAMANI FEKI.
Mungu awabariki sana wateja wangu,Muwe na jumapili Njema
Karibuni sana
0767-241001
0620-690670
NB:-2
Sema unataka wapi Kiwanja/Nyumba,lini,bajeti yako,sisi kazi yetu n kukutafutia popote kulingana na Namahitaji yako
Asante sana Mkuu,kindergarten graduate ndio kaelimu kangu Mkuu tunanyumbulika tuWw n zaidi ya dalali!!! unaakili nyingi sana, unatupenda wateja wako hadi unakera!!! samahani hivi ulisema umehishia LA ngapi???
Hapana Mzee, kwanza ntashukuru sana kwa kuokoa Pesa za Mteja wangu, ndio maana nikaeleza umuhimu wa hawa watu wawili pale juu pia ameniokoa mm kwenye matatizo yasiyo ya muhimu mzee, kijiji kinanitegemea, then ntamtafutia Mteja eneo jingine na ntamuomba halete Afisa Ardhi yule yule kwa moyo mweupe kabisaEndapo Afisa Ardhi akasema hili n eneo LA hosipitali hauone kama atakuwa amekupepelushia njiwa wako Mzee????
+Olimpic shell-Bohongwa
Vyumba viwili
Sebure kubwa
Choo ndani
Maji/umeme 24/7
Jiko lipo nje (unaweza kufungia gesi na mavyombo huko huko)
Dk 01Kufika Buhongwa Rd
Kodi kwa mwaka mil 2 endapo utalipa yote sawa na lk 1.67
lkn ukilipa miezi 6 chukua
Mil 2.5 gawa kwa 2
Wapangaji wawili tu
Parking kubwa sana
Karibuni sana
0767-241001
0620-620690
NB
Hii Nyumba kama huna familia utalala nje mageti yake sijui nani atakufungulia
View attachment 1129288View attachment 1129290View attachment 1129294View attachment 1129295View attachment 1129296View attachment 1129297View attachment 1129298