Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
kwaiyo nawewe nawe ni tajiri !!! Masikini mnapenda kujitutumua
Mkuu ukiwa na pesa huwi na mbwembwe na majisifu mtandaoni,Kama umeamini mimi masikini, mbona huwezi kuamini nikiwa tajiri?
Ufukara umekuwa sehemu yenu na hakika mnajivunia.
Naona hofu ya kukuta mbebez wa Elitrea kakamata nafasi ilikuingia sawasawa, huna tena wenge la kwenda norway....Umeanza ww mzalendo no 1
😀😀😀...utaona...sijawah shindwa na kitu nikikiamlia...hapa naangalia kwanza upepo....Naona hofu ya kukuta mbebez wa Elitrea kakamata nafasi ilikuingia sawasawa, huna tena wenge la kwenda norway....
Tupe technique mkuu tufanyeje?Pako vizuri sana , sisi wengine tuliobahatika kupita njia hiyo tukielekea kuunganisha kwenda Denmark tunafahamu maisha ni mazuri lakini pia ujira sio mbaya, Kuna kamji kadogo down south kanaitwa Kalmar nilikaa huko kuna watu weusi wachache sana na hakuna ubaguzi tatizo connection ya kufika huko na kwa kipindi hiki cha Corona ndio balaa kabisa , kwa vijana wa bongo wanaotafuta future hivyo vimiji vidogo ndio mpango mzima lakini siyo stokholm
Wakirudi bongo wataishi kama wafalme!!.Umepewa tenda kushawishi wabongo wakawe watumwa ughaibuni, siyo?
Siku utakaponyanyua mguu tu tunavuta kitu kipya...halafu tunakuwekea miwani ya mbao...😀😀😀...utaona...sijawah shindwa na kitu nikikiamlia...hapa naangalia kwanza upepo....
😀😀😀! Sasa ww unavuta muafrica mwenzako..mie naenda kula raha na wathungu .nan yuko juu😜Siku utakaponyanyua mguu tu tunavuta kitu kipya...halafu tunakuwekea miwani ya mbao...
Hauwezi kuwa mtumwa kama unatumika kwenye nchi yako...Wakirudi bongo wataishi kama wafalme!!.
Utumwa unaweza kuwa mentality.. hata hapa bongo anayeishi paycheck to paycheck anaweza kuwa mtumwa.
Wazungu maboya tu, utakuja niambia....😀😀😀! Sasa ww unavuta muafrica mwenzako..mie naenda kula raha na wathungu .nan yuko juu😜
Umemaliza yote hapo, utafauti upo kwenye malipo. Huku malipo ni makubwa sanaKazi hizo za unskilled kwenye bandari ni ufagiaji, kufunga na kufungua mizigo/container (lashing/unlashing), kukusanya taka kutoka melini kupeleka kwenye gari za taka(garbage collection), kugonga kutu na kutoa chaza kwenye boti, usafi na kutunza boti.
Per Diem huko zipo zipi?
Siyo sawa, hujui kwamba hiyo ni hujuma kwa nchi kushawishi vijana mabao ni nguvu kazi wakatumike kwengine?Sawa tu
Siyo roho mbali bali tambo na uhalisia ni tofauti. Ukifika huko utawahurumia maisha wanayoishi vs maneno yao humu.Roho mbaya...
Si unajitune tu mzee baba?Wazungu maboya tu, utakuja niambia....
Kutumika kwenye nchi yako unamaanisha nini kuajiriwa hapa Tz au Teuzi??Hauwezi kuwa mtumwa kama unatumika kwenye nchi yako...