Karibuni tupambane huku Malmö, Sweden. Malipo si mabaya

Karibuni tupambane huku Malmö, Sweden. Malipo si mabaya

Kazi hizo za unskilled kwenye bandari ni ufagiaji, kufunga na kufungua mizigo/container (lashing/unlashing), kukusanya taka kutoka melini kupeleka kwenye gari za taka(garbage collection), kugonga kutu na kutoa chaza kwenye boti, usafi na kutunza boti.

Per Diem huko zipo zipi?
 
Kama umeamini mimi masikini, mbona huwezi kuamini nikiwa tajiri?

Ufukara umekuwa sehemu yenu na hakika mnajivunia.
Mkuu ukiwa na pesa huwi na mbwembwe na majisifu mtandaoni,
we utakuwa una vimilioni vyako kumi au Tano ndio ivyo vinakufanya ujione tajiri,

Na utoto pia unakusumbua, Wengine tushapitia uko tunajua hayo
 
Pako vizuri sana , sisi wengine tuliobahatika kupita njia hiyo tukielekea kuunganisha kwenda Denmark tunafahamu maisha ni mazuri lakini pia ujira sio mbaya, Kuna kamji kadogo down south kanaitwa Kalmar nilikaa huko kuna watu weusi wachache sana na hakuna ubaguzi tatizo connection ya kufika huko na kwa kipindi hiki cha Corona ndio balaa kabisa , kwa vijana wa bongo wanaotafuta future hivyo vimiji vidogo ndio mpango mzima lakini siyo stokholm
Tupe technique mkuu tufanyeje?
 
Msalimie ibrahimovic.. Japo mashabiki wa malmo ff wamevunja sanamu yake, nitakuja kuijenga upya.
 
Wakirudi bongo wataishi kama wafalme!!.

Utumwa unaweza kuwa mentality.. hata hapa bongo anayeishi paycheck to paycheck anaweza kuwa mtumwa.
Hauwezi kuwa mtumwa kama unatumika kwenye nchi yako...
 
Kazi hizo za unskilled kwenye bandari ni ufagiaji, kufunga na kufungua mizigo/container (lashing/unlashing), kukusanya taka kutoka melini kupeleka kwenye gari za taka(garbage collection), kugonga kutu na kutoa chaza kwenye boti, usafi na kutunza boti.

Per Diem huko zipo zipi?
Umemaliza yote hapo, utafauti upo kwenye malipo. Huku malipo ni makubwa sana
 
Back
Top Bottom