dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Hahahha aiseeeNilitegemea kupata UDC nimepigwa mwanu,ngoja nijipange kuja kutafuta maisha huko mkuu.
Tena mimi nikionaga jinsia me inahanya hanya maisha huwa najiuliza kama wako timamu...kuna uzi sijui ndo huu kuna jamaa anauliza mtu wa kumpokea...wtf!.hv woga wenu wa kwenda huko mbali huwa ni nini ukiachana na uchumi( nauli) Mtu sio bubu,bahati umesoma, unaogopa nini kusepa? Mm ningekuwa me sijui kama ningekuwa nalalamika maisha magumu..mtu me na huna mke wala familia??.ajabu sana
Nakubaliana sana na ww kisa ujamaa..arghh naumia na vizazi vijavyo vitakuwa malonya lonya tu...!siku ilete huenda ikasisimua bongo za vijanaTanganyika ilipopata uhuru, mwalimu nyerere alichagua mrengo wa mashariki wa ujamaa, mfumo wa ujamaa huzaa raia waoga sana tofauti na mfumo wa kibepari ambao lazima mbilingembilinge ili maisha yasonge, ndio maana utakuta vijana wapo wapo tu kisingizio mtaji kuna siku nitaleta story ya jamaa yangu wa burundi ambae anaeleza bongo kulivo lemaza watu, only wachaga ndio walijitahidi kutoka na kidogo wanyanguzu waliopo msumbiji kwenye machimbo lakini wengine mtihani, ujasiri wa mkenya na mtanzania ni vitu viwili tofauti sababu ni ujamaa wa kifala tuliorithi
Inabidi tuombewe , tupate roho ya upambanaji aisee, kama vile, watu wanavyowekewa mikono kukemea "roho ya kukataliwa" 😀Tena mimi nikionaga jinsia me inahanya hanya maisha huwa najiuliza kama wako timamu...kuna uzi sijui ndo huu kuna jamaa anauliza mtu wa kumpokea...wtf!.hv woga wenu wa kwenda huko mbali huwa ni nini ukiachana na uchumi( nauli) Mtu sio bubu,bahati umesoma, unaogopa nini kusepa? Mm ningekuwa me sijui kama ningekuwa nalalamika maisha magumu..mtu me na huna mke wala familia??.ajabu sana
Na wewe ndo hao hao kumbe? Dah mm sijui hii spirit nimeitoa wapi aise..😀😀! Kaza..kuwa kiburi full ubabe...! Yaani mm hata kama kuzimu kungekuwa kunahela ningeenda tu kwakweli nikaishi huko..sijali miba njiani wala nini..Inabidi tuombewe , tupate roho ya upambanaji aisee, kama vile, watu wanavyowekewa mikono kukemea "roho ya kukataliwa" 😀
Unakuta mtu anapinga idea ya mtu asiende nje kusaka maisha ,ukimuuliza kwanini... ? Hana sababu za msingi zaidi ya maneno yale yaleTena mimi nikionaga jinsia me inahanya hanya maisha huwa najiuliza kama wako timamu...kuna uzi sijui ndo huu kuna jamaa anauliza mtu wa kumpokea...wtf!.hv woga wenu wa kwenda huko mbali huwa ni nini ukiachana na uchumi( nauli) Mtu sio bubu,bahati umesoma, unaogopa nini kusepa? Mm ningekuwa me sijui kama ningekuwa nalalamika maisha magumu..mtu me na huna mke wala familia??.ajabu sana
Inategemea lakini na kichwa..mimi nikitaka kitu hata iweje aise...nakimalizia...ondoa woga na hofuUnakuta mtu anapinga idea ya mtu asiende nje kusaka maisha ,ukimuuliza kwanini... ? Hana sababu za msingi zaidi ya maneno yale yale
Ooh unaenda kutawaza vizee, sijui utabaguliwa ..hahaha yani hakupi sababu za msingi ila anataka akukatishe tamaa
au kukujaza hofu zisizo na msingi- kitu ambacho sio rahisi kumkatisha tamaa mtu mwenye nia!
Hapana sio " haohao" nilikuwa na refer kwa huyo jamaa anyesema wanaotafuta ajira nje ya Tz ni watumwa! Hivyo nime assume hana spirit ya upambanaji , ndio maana anatafuta excusesNa wewe ndo hao hao kumbe? Dah mm sijui hii spirit nimeitoa wapi aise..😀😀! Kaza..kuwa kiburi full ubabe...! Yaani mm hata kama kuzimu kungekuwa kunahela ningeenda tu kwakweli nikaishi huko..sijali miba njiani wala nini..
Mbele kwa mbele...au mnabaki mujini kusubiria teuzi🤦♂️
Dada ni ku Dm?nina jambo langu[emoji3][emoji3][emoji3]...utaona...sijawah shindwa na kitu nikikiamlia...hapa naangalia kwanza upepo....
Nadhani hali ni ngumu kwahiyo anaona aibu kumpeleka mtu ambaye sio wa karibu sana itakuwa aibu zaidiLakini siyo yeye tu. Wabongo wote ndivyo walivyo.
Nina washikaji kibao wako Ulaya na Marekani. Lakini ikifika kwenye kupeana ramani za maisha ni wagumu balaa.
Wabongo sijui tuna shida gani.
Hapo unaona umeandika point kumbe pumba tupu.Mkuu waisraeli njaa ndo iliwapeleka misri, lakini waliishia kuishi maisha ya utumwa ambayo hayakuwa ya hadhi ya kwao hadi walipoondoka kwenda kwenye nchi ya kwao. Kaa ujielimishe vizuri maana ya kuwa mtumwa na maana ya kuwa huru, utakuja kunielewa....elewa kwamba utumwa pia upo kwenye namna unavyoishi fikra na mitazamo yako.
Ahhahaaa kwamba@Mito anaishi kwa shemeji yake. Hahaa huyo ana maisha..hasindikizi kama sisi mkuuKama Maisha unayoishi hapo Kwa shemeji yako masanzakona
Ntakupm asbh..ila siko mamtoni mkuu😀Dada ni ku Dm?nina jambo langu
Ukiwa na fikra za kitumwa utaona pumba tu.......Hapo unaona umeandika point kumbe pumba tupu.
Watumikie nchi yao....Unataka waendelee kutumikia CCM au ?
Unafiki ni kitu kibaya Sana.Ukiwa na fikra za kitumwa utaona pumba tu.......
Utumwa hadi kwenye ushabiki wa mpira, lazima uweke nembo ya chelsea kwenye avatar? kijijini kwenu hakuna timu?Unafiki ni kitu kibaya Sana.
Kwema, sijui wewe!Mrembo wangu kwema?
😎
Am good.Kwema, sijui wewe!
kule nguvu zako tu, kazi kwa masaa.Unalipwaje mkuu