Karibuni tupambane huku Malmö, Sweden. Malipo si mabaya

Tena mimi nikionaga jinsia me inahanya hanya maisha huwa najiuliza kama wako timamu...kuna uzi sijui ndo huu kuna jamaa anauliza mtu wa kumpokea...wtf!.hv woga wenu wa kwenda huko mbali huwa ni nini ukiachana na uchumi( nauli) Mtu sio bubu,bahati umesoma, unaogopa nini kusepa? Mm ningekuwa me sijui kama ningekuwa nalalamika maisha magumu..mtu me na huna mke wala familia??.ajabu sana

Tanganyika ilipopata uhuru, mwalimu nyerere alichagua mrengo wa mashariki wa ujamaa, mfumo wa ujamaa huzaa raia waoga sana tofauti na mfumo wa kibepari ambao lazima mbilingembilinge ili maisha yasonge, ndio maana utakuta vijana wapo wapo tu kisingizio mtaji kuna siku nitaleta story ya jamaa yangu wa burundi ambae anaeleza bongo kulivo lemaza watu, only wachaga ndio walijitahidi kutoka na kidogo wanyanguzu waliopo msumbiji kwenye machimbo lakini wengine mtihani, ujasiri wa mkenya na mtanzania ni vitu viwili tofauti sababu ni ujamaa wa kifala tuliorithi
 
Nakubaliana sana na ww kisa ujamaa..arghh naumia na vizazi vijavyo vitakuwa malonya lonya tu...!siku ilete huenda ikasisimua bongo za vijana
 
Tena mimi nikionaga jinsia me inahanya hanya maisha huwa najiuliza kama wako timamu...kuna uzi sijui ndo huu kuna jamaa anauliza mtu wa kumpokea...wtf!.hv woga wenu wa kwenda huko mbali huwa ni nini ukiachana na uchumi( nauli) Mtu sio bubu,bahati umesoma, unaogopa nini kusepa? Mm ningekuwa me sijui kama ningekuwa nalalamika maisha magumu..mtu me na huna mke wala familia??.ajabu sana
Inabidi tuombewe , tupate roho ya upambanaji aisee, kama vile, watu wanavyowekewa mikono kukemea "roho ya kukataliwa" 😀
 
Na wewe ndo hao hao kumbe? Dah mm sijui hii spirit nimeitoa wapi aise..😀😀! Kaza..kuwa kiburi full ubabe...! Yaani mm hata kama kuzimu kungekuwa kunahela ningeenda tu kwakweli nikaishi huko..sijali miba njiani wala nini..
Mbele kwa mbele...au mnabaki mujini kusubiria teuzi🤦‍♂️
 
Tena mimi nikionaga jinsia me inahanya hanya maisha huwa najiuliza kama wako timamu...kuna uzi sijui ndo huu kuna jamaa anauliza mtu wa kumpokea...wtf!.hv woga wenu wa kwenda huko mbali huwa ni nini ukiachana na uchumi( nauli) Mtu sio bubu,bahati umesoma, unaogopa nini kusepa? Mm ningekuwa me sijui kama ningekuwa nalalamika maisha magumu..mtu me na huna mke wala familia??.ajabu sana
Unakuta mtu anapinga idea ya mtu asiende nje kusaka maisha ,ukimuuliza kwanini... ? Hana sababu za msingi zaidi ya maneno yale yale

Ooh unaenda kutawaza vizee, sijui utabaguliwa ..hahaha yani hakupi sababu za msingi ila anataka akukatishe tamaa

au kukujaza hofu zisizo na msingi- kitu ambacho sio rahisi kumkatisha tamaa mtu mwenye nia!
 
Inategemea lakini na kichwa..mimi nikitaka kitu hata iweje aise...nakimalizia...ondoa woga na hofu
 
Na wewe ndo hao hao kumbe? Dah mm sijui hii spirit nimeitoa wapi aise..😀😀! Kaza..kuwa kiburi full ubabe...! Yaani mm hata kama kuzimu kungekuwa kunahela ningeenda tu kwakweli nikaishi huko..sijali miba njiani wala nini..
Mbele kwa mbele...au mnabaki mujini kusubiria teuzi🤦‍♂️
Hapana sio " haohao" nilikuwa na refer kwa huyo jamaa anyesema wanaotafuta ajira nje ya Tz ni watumwa! Hivyo nime assume hana spirit ya upambanaji , ndio maana anatafuta excuses
 
Mkuu waisraeli njaa ndo iliwapeleka misri, lakini waliishia kuishi maisha ya utumwa ambayo hayakuwa ya hadhi ya kwao hadi walipoondoka kwenda kwenye nchi ya kwao. Kaa ujielimishe vizuri maana ya kuwa mtumwa na maana ya kuwa huru, utakuja kunielewa....elewa kwamba utumwa pia upo kwenye namna unavyoishi fikra na mitazamo yako.
Hapo unaona umeandika point kumbe pumba tupu.
 
Back
Top Bottom