Karim Mandonga mtu kazi, kesho sio mbali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mandonga akasema hamjui kaoneka, baadae akamuambia wee ulisema hutaki tena mapambano, unatulia kulea watoto, sasa umedandia mtumbwi wa kibwengo, hauvushi watu.

Mweeeeeeh!!!!!
Mtani leo tutashuhudia vituko na watatuvunja mbavu zaidi mandonga akipigwa. 😂😂
 
Kiukweli hawa ndo watasababisha leo nisilale ili nione nani ataibuka mbabe.

Na mwenzake kaoneka kasema Wakazi wa Mbagala wamempa sindano ya kuja kuushona mdomo wa Mandonga hivyo leo kazi ipo. [emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
Mtani leo tutashuhudia vituko na watatuvunja mbavu zaidi mandonga akipigwa. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan sitaki kupitwa na pambano la Mandonga, uwiiiiih, akipigwa Brand yake itakua zaidi
 
Juma Kilaza alifanyaje mkuu
Juma kilaza alikuwa ni mwanamuziki mpiga gitaa wa bendi ya cuban marimba ya morogoro(enzi hizo upinzani upo kati ya cuban marimba ya Salumu Abdalllah na moro jazz ya Mbaraka Mwinshehe). Sasa huyu kilaza skawa anatamba sana kama mandoka kuwa yy ni mpiha gitaa mkali huyo Mbaraka hawezi mfikia likaandaliwa pambano (la upigaji gitaa)ambapo ktk hilo pambano aligalagazwa vibaya na huyo Mbaraka na kuonekana ana uwezo mdogo sana(kilaza) tokea hapo ndipo neno kilaza likaanza kutumika kurefer mtu mwenye uwezo mdogo
 
Jamaa anapiga biti balaa.

Huwa napenda sana kuwaskiiza hawa jamaa wakitamba.
 
Juma kilaza alikuwa ni mwanamuziki mpiga gitaa wa bendi ya cuban marimba ya morogoro(enzi hizo upinzani upo kati ya cuban marimba ya Salumu Abdalllah na moro jazz ya Mbaraka Mwinshehe). Sasa huyu kilaza skawa anatamba sana kama mandoka kuwa yy ni mpiha gitaa mkali huyo Mbaraka hawezi mfikia likaandaliwa pambano (la upigaji gitaa)ambapo ktk hilo pambano aligalagazwa vibaya na huyo Mbaraka na kuonekana ana uwezo mdogo sana(kilaza) tokea hapo ndipo neno kilaza likaanza kutumika kurefer mtu mwenye uwezo mdogo
safi sana mkongwe kwa stori
 
Team ya Mandonga inabidi ihakikishe jamaa hapati kijiti leo..kijiti ndio kilimlostisha pambano lililopita jamaa aliingia ulingoni akiwa jicho nyanya
 
Juma kilaza alikuwa ni mwanamuziki mpiga gitaa wa bendi ya cuban marimba ya morogoro(enzi hizo upinzani upo kati ya cuban marimba ya Salumu Abdalllah na moro jazz ya Mbaraka Mwinshehe). Sasa huyu kilaza skawa anatamba sana kama mandoka kuwa yy ni mpiha gitaa mkali huyo Mbaraka hawezi mfikia likaandaliwa pambano (la upigaji gitaa)ambapo ktk hilo pambano aligalagazwa vibaya na huyo Mbaraka na kuonekana ana uwezo mdogo sana(kilaza) tokea hapo ndipo neno kilaza likaanza kutumika kurefer mtu mwenye uwezo mdogo

Hii stori tamu sana
 
Back
Top Bottom