Karim Mandonga mtu kazi, kesho sio mbali

Karim Mandonga mtu kazi, kesho sio mbali

mie napenda leo uyu jamaa mandonga ashinde ili pambano tuone tambo zake,alishasema yeye anamtaka Dullah mbabe
 
Kwa tunaojua boxing hii ni kawaida stunts kama hizi. Ila kibongo-bongo Mandonga kazidi mikwara. Kama una roho ndogo unaweza usitokee ulingoni.

Kesho sio mbali Mandonga Vs Kaoneka

Mandonga kelele zake unaweza usitokee ulingoni🤣🤣
 
[emoji16][emoji16][emoji3]
Tumshauri kaka yetu achague kazi nyengine ya kufanya.
Aendelee tu na boxing
Ila apewe wenye ngumu nyepesi. Bado tunampenda kaka yetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapigwaaa.
 
Team ya Mandonga inabidi ihakikishe jamaa hapati kijiti leo..kijiti ndio kilimlostisha pambano lililopita jamaa aliingia ulingoni akiwa jicho nyanya
Daah mwanangu uliona mbali sana hata leo kilichomuangusha Mandonga toka anaingia ni Kijiti nadhani na double kick pia alipiga yaani alikuwa haeleweki balance hana
 
Daah mwanangu uliona mbali sana hata leo kilichomuangusha Mandonga toka anaingia ni Kijiti nadhani na double kick pia alipiga yaani alikuwa haeleweki balance hana
Huoni bichwa lile
Watu wenye mabichwa kama yale
Hawafai kupigana ngumi
Maana akipigwa ngumi kwenye bichwa,lazima asizi

Ova
 
Huyu boya ukibeti umeliwa sema jamaa ni comedian tu.
 
Back
Top Bottom