n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Huu mstari umeandikwa wapi, au umejisemea tu ππ.Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Viongozi wanaokwepa kuwajibika mara zote hutafuta visingizio. Sasa tumwachie Mungu vipi na wakati yeye ametuachia sisi tutawale hii dunia na kuitiisha?. Hiyo nafasi ni oversize kwake akae pembeni.Mkuu tusubilie hukumu,huku Tozo ziendelea,Shule hazina madawati, Wafanyakazi wa Umma wanazidi kuwa fukara, tunaendelea kukopa na riba juu,Shule hazina vifaa vya maabara,Barabara bado ni tatizo, huduma za afya bado ni changamoto.......hata Mungu mwenyewe atatushangaa na kutuona yale maarifa aliyotupa kuyatumia hatuyatumii........
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
Exactly, ajitafakari kama kweli yeye ni kiongozi au mlalamishi.hana lolote huyo anawaogopa, utapata wapi ujasiri wa kukalipia wakati wewe mwenyewe si msafi??.
yaani leo uwaambie wale kwa urefu wa kamba zao wasivuke kwa wengine alafu kesho uwafokee eti wanakula sana ??haiwezekani...aache kutuhadaa watanzania namna hiyo..yeye mwenyewe amuogope Mungu tena bora angenyamaza kimya atulie iwe kama nchi haina rais
Badala ya kutengeneza mpango kazi kupambana na matumizi mabaya,ila tunamwachia Mungu,kweli? Inasikitisha sanaViongozi wanaokwepa kuwajibika mara zote hutafuta visingizio. Sasa tumwachie Mungu vipi na wakati yeye ametuachia sisi tutawale hii dunia na kuitiisha?. Hiyo nafasi ni oversize kwake akae pembeni.
Mwagito kwani Andrew Change yuko wapi?Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
anawafanya watanzania wajinga sana huyu mama, ila Mungu atamlipa. Yeye ndiye namba moja ambaye anapigia debe uizi wa mali za nchi kwa kusema wale kwa urefu wa kamba zao..yaani unamteua mtu akusaidie kazi alafu unamwambia ale kwa urefu wa kamba yake..wakati ukijua wazi kabisa kwamba mtu huyo atalipwa mshahara nyumba na usafiri....rais ajitafakari sana kama anafaa kuendelea kuiongoza nchi yetuExactly, ajitafakari kama kweli yeye ni kiongozi au mlalamishi.
Kivipi tena? Kwani hashirikiani nao? si aliwaruhusu wale wanavyotaka kwa urefu wa kamba zao?
Wamemzidi nguvu na hana cha kuwafanya ndio maana amekuja nje anataka nguvu ya umma..Kama kiongozi ingebidi asitoe hizo kauli, angewajibisha wa wote walioiba ili na yeye Kwa Mungu awe na la kusema.