Karma Haipo, Karma ni dhana ya kimaskini kuwafariji maskini

Fanya ubaya
Then give it a time and definitely the time will tell.
 
I totally agree with you,ni dhana ya maskini kujifariji,kama karma ingekua kweli basi wazungu walivyotutesa wangekua na hali mbaya sana.

They are still F***ck us na amna kitu tunawafanya wala iyo karma
 
I totally agree with you,ni dhana ya maskini kujifariji,kama karma ingekua kweli basi wazungu walivyotutesa wangekua na hali mbaya sana.

They are still F***ck us na amna kitu tunawafanya wala iyo karma
WTF

Karma unaweza kuipindua Kwa kutenda mema .

Soma Uzi wa Pascal Mayalla kuhusu karma utaelewa vizuri .

How to reverse karma
 
Ww ni tajiri?
 
Time will tell wapi wewe?

Mababu zetu walioteswa utumwani na wazungu na waarabu hiyo karma imewafanya ni nini?
Kabisa babu zetu walipelekwa utumwani wakateswa wakauawa bila hatia,,,,,nakupa mfano kwa Marekani.....ile ardhi ilikunywa damu za babu zetu wasio na hatia......mpaka leo wale wazungu walio fanya mauaji kwa babu zetu uzao wao bado wateseka.......kwa mfano watoto wa kizungu wasio na hatia wanaweza ku uawa bila hatia, aidha wakiwa shule au wakiwa nyumbani au popote pale......ardhi ni shahidi na mbingu ni shahidi....
 
Mbona black people ndio wanao ongoza kuuana na kuteseka Marekani?

Na hiyo karma haijawafanya chochote wazungu.

Watu weusi ndio wanateseka.

Watu weusi ndio wana uwawa sana bila hata hatia, Rejea mauaji ya George Floyd.

Sasa hiyo karma ina attack watu weusi tu?
 
MUda huu yaani sasa hivi hapa nipo Marekani.....wazungu ndio wana hali mbaya kuliko weusi.....na sijui kwa nini haitangazwi......kila siku watu wanakufa kwa makumi.....si mamia wala maelfu ni makumi tu....lakini siku kumi???,,,,,,,,,.........
JUzi kushinda jana hatua kama mia toka ninapoishi kuna mama wa kizungu kaua wanae wawili kaua mbwa na yeye kajimaliza sababu haieleweki......je? unajuaje kama babu yake hakushiriki mauaji kitambo? neno laana maana yake nini??? KARMA je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…