Karma is Real!, Kutumbuliwa ni Karma za Matendo Yako!. Ukitumbuliwa Kwa kosa la Kuusema Ukweli, ni Uonevu!, Rejoice!, Karma Itakufidia na Kukulipia!

Hii karma nayo haina macho? Haimuoni mwigulu?

Japo kutumbuliwa kwao sio afueni ya mtanzania, sababu wanasiasa 99% nchi hii ni wale wale tu, wote wachumia tumbo, hawajali kuhusu tanzania ya kesho wala mtanzania wa leo
 
Yana badilisha maiamsha yao? hizi ni sanaaa, still matatizo common ya raia yako pale pale.
Sasa wewe unataka wafanye nini mkuu? Wasikitike kwa kuwa Nape katumbuliwa? Au waingie mtaani ili arudishwe.

Majuzi hapa nilijiunga bando la 10K Voda. Lile bando haki ya nani sikulifanyia kitu na lilikatika hivi naliona hata dakika 10 hazikuisha wakati nipo JF hapa hapa. Wizi wa waziwazi. Na Nape ilikuwa akipelekewa malalamiko kama haya anajibu kwa dharau sana na kusema makampuni ya simu yanaingia gharama sana. Hatukuwa na mtetezi.

Jerry Slaa akija na moto aliotoka nao huko Ardhi akafanya kazi vizuri na makampuni ya simu haya yakaacha wizi na hata kupunguza gharama za mabando kidogo, hii itakuwa ni ahueni kubwa sana kwa mwananchi wa kawaida anayeibiwa kila leo na hana mahali pa kulalamikia.

Ndiyo. Hata mimi nimefurahi Nappe kuondolewa maana hakuwa na msaada wo wote!

 
SSH ameshaunganisha vinukta.

Ili kazi iendelee, mabadiliko ya lazima yalitakiwa yafanyike Karma or Not.

Magulification must go on.

Poleni mlio tumbuliwa, tenguliwa. Kapigeni mabao mengime ya mkono-no repurcussion this time.

Hongereni nyote mliopata nafasi.

"Mkafanye kaziii"~Hayat Rais Magufuli
=======================
 
Si huwa kuna msemo uraisi ni taasisi ina viona mbali tutulie tu kama alivyoteuliwa pia hatukupewa sababu ya uteuzi mfano january alikuwa waziri awamu ya tano akatumbuliwa awamu ya sita akateuliwa bila kujulishwa wananchi imefika muda wacha karma ya kumsema vibaya wazi wazi marehemu yeye na familia iwatafune!
 
Labda Byabato ametumbuliwa kwa kutomsahihisha mropokaji
 
Huyu mama ubunge wake aliuachia lini mpaka akaenda huko US
 
Karma is for real 😳
Tunasubiri mengi zaidi from it !
Just a matter of time πŸ™Œ
 
Hii karma nayo haina macho? Haimuoni mwigulu?

Japo kutumbuliwa kwao sio afueni ya mtanzania, sababu wanasiasa 99% nchi hii ni wale wale tu, wote wachumia tumbo, hawajali kuhusu tanzania ya kesho wala mtanzania wa leo
Kila mmoja ataubeba mzigo wake muda ukiwadia 😳
Na huo muda utawadia tu in any way !
Just a matter of time πŸ™Œ
 
duh, hivi dunia hii mtu kama makamba unaweza kuweka neno uonevu kweli kwenye chochote kitakachomtokea? I mean, lets be real tuache kumdhihaki Mungu, chochote negative kitakachompata kinaweza kuwa chochote lkn uonevu siyo, hapo umetumia maneno vibaya, anaonewa mwalimu aliyetumikia miaka 40 anahangaikia pension yake, anaonewa polisi au mama lishe anayetupiwa na kuporwa mtaji wake na mgambo, anaonewa mtoto yatima na wangine wengi wasio na mtetezi lkn siyo makamba au nape …
 
That’s it πŸ™ŒπŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…