Karma is Real!, Kutumbuliwa ni Karma za Matendo Yako!. Ukitumbuliwa Kwa kosa la Kuusema Ukweli, ni Uonevu!, Rejoice!, Karma Itakufidia na Kukulipia!

Hivi ni lazima uwe na cheo? Ukitolewa na aloyekupa kuna tatizo gani kwani wakati anakupa uliandika barua? Watanzania tuachage ushamba
 
Kwa nini hajarudisha ubunge kama sio active member kwa sasa. Wanatafuna kodi kirahisi sana!
Ukiteuliwa ubunge wa kuteuliwa ili uwe Waziri, ukitumbuliwa uwaziri, ubunge unakuwa hauna maana kwako, ila huwezi kuachia utaonekana una dharau, hivyo unaingia tuu Bungeni lakini huchangii chochote kama Dr. Bashiru na Prof. Mhongo.
P
 
Pascal unaakili sana lakini sijui kwanini Serikali haitaki kukutumia vizuri
 
RRRR kazini.

Tunaziishi R 4 za mama Samia

Niliwahi kuandika zamani; Rais wa Tanzania ana nguvu ndani ya Tanzania kuliko Rais wa Marekani ndani ya Marekani.
Sorry rais wa marekani ana nguvu but si kihivyo sababu ya mfumo wa kiutawala na katiba yao ilivyo. marekan wangekuwa na katiba kama yetu rais angekuwa powerful sana.

So it nothing special
 
Wengi hawajakuelewa.

Ni kweli ameonewa kutumbuliwa kwasababu alichosema ni kweli.
 
Pascal unaakili sana lakini sijui kwanini Serikali haitaki kukutumia vizuri
Asante sana, ķwa maoni yangu, nadhani ninaisaidia sana serikali yetu hivi nilivyo kuliko ningepewa uteuzi wowote, kalamu yangu kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi, na Jumapili kwenye gazeti la NIPASHE, na Jumapili usiku on Channel Ten,
nikitoa elimu ya katiba, sheria na haki, ni msaada mkubwa sana kwa wananchi kuliko uteuzi wowote!. Taarifa kama hizi Asking Aloud: Rais Samia anajua Katiba yetu ni batili? Na sheria mpya ya uchaguzi aliyosaini ni batili kinyume cha katiba ya JMT ya Mwaka 1977? na hizi Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? zinamsaidia sana Rais Samia, kwasababu wasaidizi wake hawawezi kumweleza ukweli kama huu!.
Hivyo mimi najihesabu ni msaada mkubwa hivi nilivyo ninavyojituma mwenyewe, kuliko kutumwa na mtu!.

Jana katumbua watu waliomo na wasiomo!, tunamsaidia kumuelimisha kuhusu karma and its consequences, kama sio watu kama sisi kusaidia, atajuaje mambo ya karma, na ni karma ndio imekula kile kichwa!, asipo... it will hit again!. Tunamsaidia sana, ila basi tuu majinga humu yanadhani namendea uteuzi!.
Nimesema humu Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! na makala nimeandika
P
 
Sorry rais wa marekani ana nguvu but si kihivyo sababu ya mfumo wa kiutawala na katiba yao ilivyo. marekan wangekuwa na katiba kama yetu rais angekuwa powerful sana.

So it nothing special
Naona umenielewa vizuri sana lakini sentensi yako ya mwisho imekosa elimu.

Unasema "nothing special" kwa mtu mwenye power kuliko wote kwenye nchi?

Hivi hizo shule mnakwenda kusomea ujinga?
 
Hapo ndio maana huwa tunashindwa kukuelewa, hivi kuna mtu mwenye akili timamu asiyejua kubwa alichokisema Nape ni ukweli mtupu? Kwa Makamba na balozi Mlamula Mzanzibari hapendi mtu wa kumu overshine japo yeye ni fade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…