swala la karma ni kwamba
Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau.
Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia usiyoitarajia—labda kupitia mtu mwingine au wakati usioutarajia.
aise Maisha ni duara, na unachoweka ndani yake ndicho utakachovuna. Jenga mema, ili kesho karma ikuletee amani badala ya majuo
karma anasema ukimchezea mtu rafu ichukue kama deni utakuja kilipa na riba juu.
unaweza kuharibu maisha ya binti kwa kumpa mimba ukamkimbia akabaki anasakamwa na kuumizwa kihisia kama single mother finally ukaoa ukapata mabint tupu nao wote wakazalia happ wako
sometimes kama huwez kumtendea mtu mema basi usimtendee mabaga stay neutral kumkwepa karma