Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

Hiyo karma mbona haiwapati wana siasa wauwaji, watekaji na wadhulumu mali za watu? Iko kwa upendeleo wa watu baadhi tu?
karma
Karma doesn't exist.

Karma haipo.

Karma ni dhana ya kimaskini kuwafariji maskini na matatizo yao.

Mababu zetu waliteswa sana utumwani na wakati wa ukoloni na hiyo karma haijawafanya chochote wazungu.

Wazungu wamezidi kupata maendeleo. Waafrika tumezidi kudidimia na uduni wetu.

There's nothing like karma.

Do you think the rich will suffer because they oppress the poor? Never.

The rich get richer, the poor they suffer.

In the jungle of life salvation is largely on your hands.

No Karma.

Karma is the promise for the poor so that they don't revenge when they are bullied and oppressed.

Cc min -me
karma hajasema ukiwa oppressed usipambane . Karma haimaanishi kunyamaza au kuwa dhaifu mbele ya dhuluma—ina maana ya kusimama kwa haki, kupigania kile kilicho sahihi, na kuhakikisha matendo mema yanashinda.
 
swala la karma ni kwamba

Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau.

Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia usiyoitarajia—labda kupitia mtu mwingine au wakati usioutarajia.

aise Maisha ni duara, na unachoweka ndani yake ndicho utakachovuna. Jenga mema, ili kesho karma ikuletee amani badala ya majuo

karma anasema ukimchezea mtu rafu ichukue kama deni utakuja kilipa na riba juu.

unaweza kuharibu maisha ya binti kwa kumpa mimba ukamkimbia akabaki anasakamwa na kuumizwa kihisia kama single mother finally ukaoa ukapata mabint tupu nao wote wakazalia happ wako

sometimes kama huwez kumtendea mtu mema basi usimtendee mabaga stay neutral kumkwepa karma
Ndio maana sitaki kuoa nikikumbuka moto ninawapelekea wake za wengine.

Nyau de adriz
 
karma

karma hajasema ukiwa oppressed usipambane . Karma haimaanishi kunyamaza au kuwa dhaifu mbele ya dhuluma—ina maana ya kusimama kwa haki, kupigania kile kilicho sahihi, na kuhakikisha matendo mema yanashinda.
Kama karma ni kupigania kile kilicho sahihi, Basi hii sio karma.

Hii ni survival for the fittest.
 
Hakuna cha karma.

Maelfu ya mababu zetu waliuwawa utumwani na hiyo karma haijawafanya chochote wazungu.

Sanasana mmeletewa dini na Yesu wa kuwapumbaza akili kwamba, Forgive your enemies and pray for them.

Baada ya wazungu kuwatesa vya kutosha mababu wa kiafrika wakaleta Biblia inayo kwambia, Forgive your enemies...!!!

Na miafrika ilivyo mijinga ina shout Amen! Amen! Amen!
karma na Yesu ni tofauti YESU anasema ukipigwa shavu la kulia mgeuzie na la kushoto.

karma anasema kama unapigwa pasipo haki usikubali kupigwa hata shavu moja simama kidete hakikisha haki inashinda
 
idea ya karma yenyewe huijui halafu unaikataa umasema haipo

haimake Sense
Kwa maelezo yako uliyotoa hapo juu tayari ushafanya logical contradiction.

Title ya uzi wako inasema karma hulipa kwa haki, Halafu tena unasema mtu inabidi ajipiganie.

Sasa mtu akijipigania hiyo ni karma au nguvu zake mwenyewe?

Kwa nini hiyo karma isikupiganie yenyewe?
 
karma na Yesu ni tofauti YESU anasema ukipigwa shavu la kulia mgeuzie na la kushoto.

karma anasema kama unapigwa pasipo haki usikubali kupigwa hata shavu moja simama kidete hakikisha haki inashinda
Hakuna karma.

Karma ni dhana za watu wachovu na wanyonge.

Wewe unasubiri karma ikulipie badala ya kupambana na watesi wako?

Huo ni unyonge.
 
typing error mabaga =mabaya
Hakuna karma.

Karma ni dhana za watu wachovu na wanyonge.

Wewe unasubiri karma ikulipie badala ya kupambana na watesi wako?

Huo ni unyonge.
ulicho andika inonesha kuchakata concepts ukapata maana kamili au kuelewa ni approximately 0.

au unapindisha concepts kuonekana upo sahihi.
 
Mbaya zaidi ni kumuumiza mtu ambaye ana watu nyuma wanaomtegemea, watu hawafikiri ni watu wangapi wataumia kwa kumuumiza mtu mmoja.

Kuna boss wangu nilipishana nae kauli akanifukuza kazi, mbaya zaidi akaongea maneno mengine ya uongo juu yangu ili nisisaidiwe kwenye department nyingine, hajui tuu n watu wangapi wameumia kwa alichonifanyia.
Same to Me.
Kuna Dalali ameniharibia kazi kwa tajiri mpaka saiv nipo maskani na Mambo magumu. Lkn silalamiki najua karma is real!!!
 
Biblia inasema tusilipe baya kwa baya au uovu kwa uovu, kisasi ni juu ya Mungu, yeye mwenyewe hulipa. Kwahiyo Karma is real, na hiko ndicho kisasi anacholipa Mungu. Mungu akilipa analipa kwa majuto makuu sana kwa yule mhusika aliyetenda ujinga.
 
Karma haipo mkuu.

Karma ni dhana ya kuwafariji maskini na matatizo yao.

In the jungle of life salvation is largely on your hands.

There's nothing like karma.

Mababu zetu waliteswa sana utumwani na wakati wa ukoloni lakini hiyo karma haijawafanya chochote wazungu.

Wazungu wamezidi kufanikiwa na waafrika tumebaki na manung'uniko tu.

Karma is the promise for the poor so that they don't revenge when they are oppressed.
Sikupingi mzee
 
Masikini tunafundishwa kumuachia Mungu.
 
Hakuna cha karma.

Maelfu ya mababu zetu waliuwawa utumwani na hiyo karma haijawafanya chochote wazungu.

Sanasana mmeletewa dini na Yesu wa kuwapumbaza akili kwamba, Forgive your enemies and pray for them.

Baada ya wazungu kuwatesa vya kutosha mababu wa kiafrika wakaleta Biblia inayo kwambia, Forgive your enemies...!!!

Na miafrika ilivyo mijinga ina shout Amen! Amen! Amen!
Hakuna watu wanaochapika kwa sasa kama wazungu.....ni vile tu wanaficha mambo yao.....niko nao hapa......
 
swala la karma ni kwamba

Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau.

Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia usiyoitarajia—labda kupitia mtu mwingine au wakati usioutarajia.

aise Maisha ni duara, na unachoweka ndani yake ndicho utakachovuna. Jenga mema, ili kesho karma ikuletee amani badala ya majuo

karma anasema ukimchezea mtu rafu ichukue kama deni utakuja kilipa na riba juu.

unaweza kuharibu maisha ya binti kwa kumpa mimba ukamkimbia akabaki anasakamwa na kuumizwa kihisia kama single mother finally ukaoa ukapata mabint tupu nao wote wakazalia happ wako

sometimes kama huwez kumtendea mtu mema basi usimtendee mabaga stay neutral kumkwepa karma
KARMA HAS NO MENU
 
Kwani ungemtaja Gambo ni nani angekushangaa..
 
Karma haipo mkuu.

Karma ni dhana ya kuwafariji maskini na matatizo yao.

In the jungle of life salvation is largely on your hands.

There's nothing like karma.

Mababu zetu waliteswa sana utumwani na wakati wa ukoloni lakini hiyo karma haijawafanya chochote wazungu.

Wazungu wamezidi kufanikiwa na waafrika tumebaki na manung'uniko tu.

Karma is the promise for the poor so that they don't revenge when they are oppressed.
Kuna sehemu nilienda kula k/moto mwaka jana nikaokota 20k eneo lile lile mwaka huu nikaenda kula tena kitimoto mida ya usiku ila ajabu ni kuwa asubuhi yake jamaa niliekuwa nae mishe na nilieenda kula nae nikamsimulia kuhusu 20k ile, sasa kipindi naenda pale kula nikanunua shoes za madogo za 20k nikaziweka ktk mizigo mingine kwa ndani ajabu ni kuwa kipindi nasubiri msosi mzigo upo juu ya pikipiki, namalizia kula hivi nakuja kutahamaki zile shoes hazipo ila vingine vipo, nilikoswa usingizi sio kisa shoes za 20k pair kama 3 hivi bali ni vilivyokuwa viatu vizuri pia kupotezea sehemu ile ile ambayo niliokoa 20k 😔😔😔😔
 
Back
Top Bottom