Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

Hiyo karma mbona haiwapati wana siasa wauwaji, watekaji na wadhulumu mali za watu? Iko kwa upendeleo wa watu baadhi tu?
karma
karma hajasema ukiwa oppressed usipambane . Karma haimaanishi kunyamaza au kuwa dhaifu mbele ya dhuluma—ina maana ya kusimama kwa haki, kupigania kile kilicho sahihi, na kuhakikisha matendo mema yanashinda.
 
Ndio maana sitaki kuoa nikikumbuka moto ninawapelekea wake za wengine.

Nyau de adriz
 
karma

karma hajasema ukiwa oppressed usipambane . Karma haimaanishi kunyamaza au kuwa dhaifu mbele ya dhuluma—ina maana ya kusimama kwa haki, kupigania kile kilicho sahihi, na kuhakikisha matendo mema yanashinda.
Kama karma ni kupigania kile kilicho sahihi, Basi hii sio karma.

Hii ni survival for the fittest.
 
karma na Yesu ni tofauti YESU anasema ukipigwa shavu la kulia mgeuzie na la kushoto.

karma anasema kama unapigwa pasipo haki usikubali kupigwa hata shavu moja simama kidete hakikisha haki inashinda
 
idea ya karma yenyewe huijui halafu unaikataa umasema haipo

haimake Sense
Kwa maelezo yako uliyotoa hapo juu tayari ushafanya logical contradiction.

Title ya uzi wako inasema karma hulipa kwa haki, Halafu tena unasema mtu inabidi ajipiganie.

Sasa mtu akijipigania hiyo ni karma au nguvu zake mwenyewe?

Kwa nini hiyo karma isikupiganie yenyewe?
 
karma na Yesu ni tofauti YESU anasema ukipigwa shavu la kulia mgeuzie na la kushoto.

karma anasema kama unapigwa pasipo haki usikubali kupigwa hata shavu moja simama kidete hakikisha haki inashinda
Hakuna karma.

Karma ni dhana za watu wachovu na wanyonge.

Wewe unasubiri karma ikulipie badala ya kupambana na watesi wako?

Huo ni unyonge.
 
typing error mabaga =mabaya
Hakuna karma.

Karma ni dhana za watu wachovu na wanyonge.

Wewe unasubiri karma ikulipie badala ya kupambana na watesi wako?

Huo ni unyonge.
ulicho andika inonesha kuchakata concepts ukapata maana kamili au kuelewa ni approximately 0.

au unapindisha concepts kuonekana upo sahihi.
 
Same to Me.
Kuna Dalali ameniharibia kazi kwa tajiri mpaka saiv nipo maskani na Mambo magumu. Lkn silalamiki najua karma is real!!!
 
Biblia inasema tusilipe baya kwa baya au uovu kwa uovu, kisasi ni juu ya Mungu, yeye mwenyewe hulipa. Kwahiyo Karma is real, na hiko ndicho kisasi anacholipa Mungu. Mungu akilipa analipa kwa majuto makuu sana kwa yule mhusika aliyetenda ujinga.
 
Sikupingi mzee
 
Masikini tunafundishwa kumuachia Mungu.
 
Hakuna watu wanaochapika kwa sasa kama wazungu.....ni vile tu wanaficha mambo yao.....niko nao hapa......
 
KARMA HAS NO MENU
 
Kwani ungemtaja Gambo ni nani angekushangaa..
 
Kuna sehemu nilienda kula k/moto mwaka jana nikaokota 20k eneo lile lile mwaka huu nikaenda kula tena kitimoto mida ya usiku ila ajabu ni kuwa asubuhi yake jamaa niliekuwa nae mishe na nilieenda kula nae nikamsimulia kuhusu 20k ile, sasa kipindi naenda pale kula nikanunua shoes za madogo za 20k nikaziweka ktk mizigo mingine kwa ndani ajabu ni kuwa kipindi nasubiri msosi mzigo upo juu ya pikipiki, namalizia kula hivi nakuja kutahamaki zile shoes hazipo ila vingine vipo, nilikoswa usingizi sio kisa shoes za 20k pair kama 3 hivi bali ni vilivyokuwa viatu vizuri pia kupotezea sehemu ile ile ambayo niliokoa 20k 😔😔😔😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…