Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

Mungu yupo anakusikia kilio chako na yy atalipwa japo baadae
 
Karm exist

Karma is a debt is not favoritism

Be good
Spread positive energy
And treat peoples equally

Matatizo mengi ya watu ni zile roho zao zakutopenda watu wengine wafanikiwe na kuumiza wenzao .

Msamaha
Maombi

N.k hayawezi kusaidia kuondoa bad karma Ila kubadilika na kuwa mtu chanya.

Na masikini ndo wahanga au waathirika wakubwa wa Karma kwakuwa wanawaza kimasikini na kuombea wenzao mabaya muda wote so Yale mabaya huwarudia.
 
Pole sana mkuu
 
Hivi kwanini kwenye haya mambo yenu ya imani za kusadikika mzigo mkubwa huwa wanabebeshwa MASIKINI

Hivi unadhani Mo anawaombea mema washindani wake kibiashara au unadhani Mark wa Facebook anaiombea mema Tik Tok?

Hakuna watu wanawaziana na kufanyiana figisu mbaya kama matajiri mkuu
Unajua figisu anazo zifanya USA na washirika wake NATO?

Mkuu trust me watu wabaya dunia hii ndio wanafanikiwa zaidi kuliko watu wema

Karma ni ujinga wa kuwafariji masikini na wote wanao onewa
 
Karma is real

Eeh nilikua siamin ila nimeamin haswaaa
 
Hii kitu nilidhani ni illusion Ila nimeona mwenyewe so sifikirii Kama ni riwaya za kusadikika wakati nimeona
 
Hii kitu nilidhani ni illusion Ila nimeona mwenyewe so sifikirii Kama ni riwaya za kusadikika wakati nimeona
Mkuu tatizo la imani ni swala la mind set...... unapoa amini kitu basi uta force na kutengeneza nadharia just to fit your imagination

Issue ni kwamba changamoto zina mkuta kila mtu duniani...... ila sasa mtu akikukosea na akaja kupata changamoto basi ni rahisi sana kwako kuamini ni KARMA inafanya kazi

Kwahiyo hata ulicho kiona wewe ni nadharia tu just to fit your imagination
 
Watu wa upande mwingine wadhulumaji , wakandamizaji, waovu, nao Wana misingi Yao inayowapa faraja na nguvu. Lakin mwisho wa siku HAKI lazma isimame.
 
Watu wa upande mwingine wadhulumaji , wakandamizaji, waovu, nao Wana misingi Yao inayowapa faraja na nguvu. Lakin mwisho wa siku HAKI lazma isimame.
Mababu zetu walioteswa utumwani na kuuwawa HAKI gani imepatikana kwa sisi waafrika?
 
Karma haipo.

Na pia inasemekana watu wema huteseka kuliko wabaya.

Kuna ule msemo eti; "There is no good deed that goes unpunished."

Lakini bado tunapaswa kutenda mema ili;

1. Tujenge mahusiano mazuri na watu, hii inasaidia kupata furaha na kuridhika na maisha.

2. Tufanye dunia iwe sehemu salama kuishi.

Ukiiamini sana karma utakwazika kwasababu sio kila baya hulipwa, sio kila jema hurejeshwa.
 
Ujinga ni mzigo sana mda wote mababu zetuuu mababu zetu wewe jamaa unashida sana
 
Shi
Mababu zetu walioteswa utumwani na kuuwawa HAKI gani imepatikana kwa sisi waafrika?
Shida Babu Yako alikua mjinga Bado wewe ni una asili hiyo hiyo upo online mda wote unamaliza bundle kama babu Yako alivyo cheza rumba badala ya kumiliki viwanja Leo hii una umaskini level ya absolutely poverty endelea kukaa online wajukuu wako wafe njaa πŸ˜‚πŸ”₯
 
Ujinga ni mzigo sana mda wote mababu zetuuu mababu zetu wewe jamaa unashida sana
Don't come to react with your emotions.

Huo ulikuwa ni mfano kwamba hiyo karma haifanyi chochote.

If you are not mentally enough to reason and think properly and critically don't come to vomit your nonsense here.
 
This kind of fallacy is called ad hominem attack.

Umeshindwa kujibu hoja unaleta Viroja.

Find someone of your league to parallel your mediocrity

Halfwit bastard.
 
Kiimani kupitia Nuhu iliruhusiwa shem na yaphet kumtawala Ham. (Mwafrika) ila nikwambia majanga ya asili huua wengi nchi za ulaya na Asia kuliko Chochote na vile ngozi zao baridi na lakini kama kitomoto Mfano Tsunami, matetemeko, vimbunga, baridi, joto nk. Hiyo inaweza kuwa karma ya kumtawala mwafrika na kumtumikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…