Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

Don't come to react with your emotions.

Huo ulikuwa ni mfano kwamba hiyo karma haifanyi chochote.

If you are not mentally enough to reason and think properly and critically don't come to vomit your nonsense here.

Ujinga ni mzigo mkubwa sana
 
Nilitaka nishangae nisikutane na majibu kama haya mbona simu ningeuza mana huenda senso za iPhone yร ngu pangine iliwekwa ya inifinix
 
Hivi umewahi kusikia wazungu wanaamini mambo ya LAANA kama huku Africa?
 
mbona wazungu walitutesa ila mpaka sasa ndo wanazidi kunemeka sisi wahanga tunazidi kutanga tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ