Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

P,

Tukitoa siasa hakuna ukweli wowote kwamba Chadma wanajiteka wenyewe. Wakati wa tekateka kulikuwa na miss call mfano walisema CAG wa zamani katekwa Bagamoyo haijawa hivyo kwasababu wakati ule kila aliyesema serikali asikojulikana alipo kwa siku chache watu walifikiri ametekwa. Lakini hii haibadilishi ukweli kwamba utekaji ulifanywa na kikosi maalumu kama Tindu Lissu alivyosema. Jeshi la Polisi halijawahi kukana aliyosema Tindu Lissu.

Lakini unaongelea viongozi ambao ni omba omba. Dr Slaa amekuwa ombaomba toka Ndesamburo afariki. Alivyoenda Canada alikuwa kachoka na kuombewa kazi kwa Magufuli. Mimi siamini kabisa kwamba Chadema wamejiteka hata kidogo. Mo naye kesi yake imeishia wapi, Roma kesi yake imeishia wapi, Ben Sanane mwenyewe alisema watu ambao wanamtisha sasa kwanini tusifuatilie hao kwanza. Lissu alitoa mpaka plate number lakini leo tunataka kujiaminisha uongo! kwanini tusingefuatilia ili plate numbers hasa nyie wahandishi wa habari

Ukweli ni kwamba ubweya na uongo ndiyo utamaduni mpya
 
Hili gazeti linaboa kusoma. Kwanini usiende tu direct kuliko kuuzunguka mbuyu?
 
Mkuu Mayalla kwahiyo unakiri Ndooguy alikunyoosha😂😂😂Mzee wa Kapernaum🔥🔥
 
watu kama akina bashite hawa kupaswa kuepo uraiani adi sasa, hata US embassy wana ushaidi wa kutosha kabisa…………...
 
NANI HUYO KAKA?
 
Paskali umetumia udhaifu wa huyo unaemuita "asiyejulikana" kuingiza ukada wako kwa manufaa ya chama chako.

Wasiojulikana wanafahamika wazi walikuwa wanafanya kazi kwa manufaa ya nani na chama chake, narudia tena, umetumia udhaifu wa huyo "asiyejulikana" ili kuiridhisha nafsi yako.
 
Brother umezunguka sana hadi umekata Pumzi .

Hao unaowaita wasiojulikana ni KIKOSI KAZI kilichoundwa chini ya ofisi ya Rais kupitia TISS kudhibiti wale wote waliokuwa kikwazo kwa mtukufu.

Mwandishi gani unakuwa muoga oga hivyo kwa jambo lililoumiza watanzania kwa kiasi kikubwa kile.?
 
Do we really have, such a hopeless Police Force in Tanzania, or ni mimi ndio hopeless in my thinking?.😆Good question...
 
Pascal Mayalla Serikali inayajua haya siyo kwamba haijui, Nikupe mfano kipindi cha rais Mpaka kuna waziri wa ujenzi alitishiwa maisha mpaka akataka kujiuzuru uwazir cha ajabu rais akaishia kumpa walizi binafisi wa serikali waziri huyo John Pombe Magufuli na wale waliomtishia kumuua hawakuchukuliwa hatua yeyote.

The same to Mwakyembe na ile sumu na Tindikali kwa Said Kubenea. Pascal Mayalla tuseme serikali haiwafahamu wanasiasa wanaotumia mbinu za kigaidi kubaki kwenye chati au kuendelea kuwamaliza watu wanaoonekana kuwa ni tishio kwao!
Kwa upande wangu naona usalama wa taifa tunawasingizia sana ile ukweli wanasiasa wenye Tamaa ndio wanatumia hii taasisi ya usalama na makundi mengine KIGAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…