Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

Nimeanzia Mwanzo mpaka Mwisho
nimeligeuza Gazeti Mpaka Ukurasa wa 40 Bado Sijamuona Huyo Asiye Julikana
Sana Naona Mafumbo tu kama Code za Kina Lokole

Kama tu unawafahamu kiasi cha kuwazingatia kina Lokole na hizo unazoita code zao, ni wazi kuwa huu uzi sio kwa ajili yako.
 
Uko sawa kuhusu huyu kiongozi mkubwa wa Chama fulani na kuhusu yule jamaa aliyetupwa jela miaka thelathini alipoulizwa mahakamani akasema alikuwa anatekeleza maagizo ya mheshimiwa rais Magufuri hiyo hoja nayo utawalaumu polisi pekee au system ya nchi kuanzia Rais,TISS,Chama cha Mapinduzi na baadhi ya waandishi wa habari kama wewe kuangalia usalama wao zaidi kuliko usalama wa nchi kwa ujumla?
 

Hapo ndio unaona umecheza mindgame vibaya kiasi kwamba umetupoteza ili tuone Magu hakuwa ni kiongozi la kundi la watu wasiojulikana, bali hizo porojo za Dr.Slaa.
 
Baada ya kutolewa kwenye ubalozi Sweden anatafuta sehemu pa kutokea ili ashibe.
 
Yaani pascal una tatizo,,UNAGONGA PALEPALE bila kupapasa macho..
 
Mhalifu hawezi kuwa mhalifu sababu ametajwa na Slaa, Mhalifu hawezi kuwa mhalifu kwa sababu tu ametajwa na mtu yeyote bila kuwepo na supportive evidence. Tunataka uchunguzi ufanyike ukweli uwekwe bayana.
 
Basi mna serikali dhaifu sana, serikali
inaowajua waovu na kuamua kuwakalia kimya, shame!
 
Hivi unaposema CCM wajinga wengi sana halafu unadai umeibiwa kura na "wajinga".Levo yenu nyinyi mnaodai kuibiwa kura inakuwa ni nini?
Kuwa mwizi hakukufanyi kuwa mjanja zaidi ya wale unaowaibia, kuna wezi wengi sana sana mitaani huiba kuku wa watu, simu na hata nguo zilizoanikwa kwenye kamba(Uswazi) lakini wizi wao hauwafanyi kuwa werevu zaidi ya wale wanaowaibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…