Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

Amesema kesi ilikuwa Polisi na hajui imeishaje. Kipi cha ziada?
 
Hii statement ya pascal mayala kuhojiwa na bunge huwa anapenda sana kuizungumza kana kwamba ye ni mtu wa kwanza kuhojiwa.

Ni bora hata yeye amehojiwa, kina said kubenea walimwagiwa tindikali, kina ndimara tegambwage walikatwa mapanga, daudi mwangosi alitawanyushwa matumbo na bomu la machozi.

Ifike mahali ajue kila kazi ina changamoto zake. Hata kuitwa kuhojiwa ni kuheshimiwa sana. Saa nyingine watu wanataka uwafafanulie tu kile ulichokiandika au kukisema.
 
Mwizi ni mwizi tu, mjinga mmoja anaweza akakaa na laptop yake akahamisha hela za benki kubwa duniani lakini haimaanishi waliounda systems za usalama wa benki ni wajinga au wale vibaka ambao hujua kukata alarm systems za benki na kuingilia kwenye paa mpaka wanafika strog-room na kutoka na pesa hakufanyi engineers waliojenga mifumo ya benki kuwa ni wajinga.
Wizi ni wizi, mwizi wa kuku na mwizi wa kura wote ni walewale yaani ni vibaka.
 
Brother, habari yako.
Yes, mimi nasema, we have a Hopeless Police Force. Toka viongozi wa ngazi za juu mpaka kwa hawa vibaka wa ngazi ya chini, wote wameoza na si wakweli. Naweza sema, they're potential majambazi na vibaka wakitembea kwa jezi za kipolisi wakilindwa na viongozi wao wanaowatumia. Najuwa techinically huwezi kukubali lakini ni bora ukweli uwekwe wazi tu kwa maslahi ya taifa na wale (mapolisi) wanao ongozwa na kasumba za kuwa Watanzania ni wasahalifu ama mazezeta wajirekebishe haraka sana. Binafsi nilishashuhudia OCD wa mkoa fulani akishirikiana na majambazi kuiba mali za wafanya biashara na kujilimbikizia mali yeye na viongozi wenzake huku wakiwalinda majambazi hao. Hapa hapa Dar, Mahita naye (si hutuma, ni ukweli) alikuwa na huu mchezo wa kutumia majambazi na vibaka kuua watu na kuiba kwenye mabenki na bureau de change. Maneno yalikuwa mengi sana dhidi ya Mahita na wanaomjuwa wanasema kwao Morogoro alikuwa masikini sana hata Mama yake mzazi alikuwa hana nyumba ya maana. Sasa Mahita kastaafu anamiliki hospitali kubwa mno na ana biashara za hajabu hajabu kitu ambacho kwa cheo alichokuwa nacho si rahisi na haswa ukizingatia alikotoka si rahisi kufikia pale alipo. Na kwa kuwa tuna viongozi wasio waadilifu, walimwacha tu jamaa huku wakimuonya chini ya carpet kwa manufaa yao wenyewe binafsi. Paskali, ukweli ni kwamba hata viongozi wa polisi tulionao sasa si wa kuwaamini hata kidogo. In public wanasema ya maana ili waonekane wanajali lakini they're all useless na wameoza kwa uhalifu na ndiyo maana unaona laana zinawatafuna kwa kuwa na maisha mabaya. Wao wako employed kulinda maisha ya wananchi lakini wanafanya contrary, na bahati mbaya pia hatuna serikali ya maana ya kukemea huu ujinga na kuwachukulia mapolisi accountable kwa uhalifu waufanyao. Never trust any police officer au serikali yetu ya kisanii. I said it, you don't have to agree with me but ukweli ndiyo huo.
 
Ndiyo Police ni hopeless, wachukuaji rushwa wakubwa na wauaji.
 
Mnapoteza muda wenu bure! Huyo mzee hayupo kwe "wasiojulikana" wala hajui kitu.
Huyo kachanganywa na vitu viwili tuu;
1. Kuikosa heshima alitotegemea
2. Shuntama
 
Anasema alitoa taarifa polisi ila hajui uchunguzi ulifikia wapi.
Mnaweza kuwa pamoja ila wengine wakawa na mtizamo tofauti kama wakijua msimamo wako lazima wakufiche mambo yao
 
" Do we have a Hopeless Police Force?. Sijasema "We have a Hopeless Police Force!". Nimeanza na angalizo hilo, maana kule nyuma niliwahi kuuliza "Jee Bunge Letu Linajipendekeza Kwa Serikali?"
Duh, ng'wanangwa wewe ni kiboko! Haki nimecheka jinsi ulivyowahi kujitetea! Nimewaomba Mods wa-edit hii habari yako waondoe hiyo alama ya kuuliza ili usafirishwe kwa ndege kwenda makao makuu ya Polisi Dodoma ukajibu tuhuma! Kwa hiyo unasema Ndugayi alikurupuka kukuita Bungeni?πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaka Pasco mbona unajichosha bure? Siamini kama na wewe umekurupuka tu bila kwanza kuchimbachimba toka nyuma huko kuhusu tukio lile la mwenyekiti wa Wilaya Temeke Bw. Joseph Yona aliyetekwa.

Kama mwandishi nilitaraji ungetutendea haki kwa kumtafuta Bw. Joseph umfanyie exclusive interview kuhusu tukio lile kabala ya kuja na makala.
Nikukumbushe tu Joseph Yona mwenyewe aliripoti waliomteka Polisi akawanasibisha na chadema
Mkuu wa Polisi wa Wilaya mwenyewe akaunda kikos Kazi cha maofisa kadhaa.
Na mpka leo hakuna mrejesho na sio ajabu huyo Bw. Joseph Yona Huenda leo huyo Joseph tayari yuko compromised na kawa mwanachama mtiifu wa CDM.
Sio Yona tu kulikuwa na Said Kubenea aliyemwagiwa tindikali na Chadema kuichafua Serikali baada ya kujua ukweli alichachamaa baadae naye akawa COMPROMISED, akanywea na akaanza kukwea vyeo ndani ya Chama na mwishowe akapata Ubunge..
Shida sio Chadema sio Polisi bali ni Utanzania tulionao sijui njaa
 
Eitha hujui chochote au uko kimkakati. Hizo nguvu mnazotumia kuiangamiza Chadema kula siku zinakwama na uongo wenu unajinasibu kwa uwazi.
Yona wa Temeke mbona ukweli ulijulikana mapema tuu na sasa ni mmoja wa watu wanaotumiwa kufanya propaganda za ccm kutukana viongozi wa Chadema!
Mnasingizia kesi ngumu viongozi wa CDM lakini mwisho ni kuumbuka. Hivi kama unaweza kumsingizia mtu kesi ya uongo jee siku ukiipata ya kweli atapumua huyo?
Kama sio mkono wa Mungu hakika Chadema ingekufa wakati wa Magufuli, lakini ikawa the opposite
 
Sasa huyo mtu asiyejulikana, baadaye akajulikana mbona hujamtaja jina? Unaogopa nini kumtaja humu kama taarifa yake,unasema, aliitoa mbele ya vyombo vya habari?

Mkuu Pascal anataka kutulisha matango akiamini kuwa watu hawana record,Kama ni Dr Slaa kweli tusiompenda tupo lakini kwa hili mbona alishasema kuwa tukio hilo alilipoti Polisi lakini anashangaa mpaka leo hakuitwa kwa mahojiano zaidi au kutoa ushahidi je hapo aaamekosa nini? Kwa propaganda hii Mwananjaa Pascal amedunda amtafutie janga jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…