Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

Shida yenu ni kufikiri kila kitu siasa.
Kifupi nikuambie hivi
Tuna mapungufu makubwa kama Taifa na wajanja wanatumia mwanya huu kufanya yao.
Shutuma za Slaa ni kubwa..kwanza kwa Chadema na pili Polisi ambao hawajafanya kitu kwa maelezo yake.
Hapa ndipo Role ya Mhimili wa 4 kama wanavojiita vyombo vya Habari wangeshika usukani
1. Wamuhoji Joseph Yona
2. Wawahoji polisi walifanya nini
3. Wachukue maelezo ya Slaa
4. Waje na habari ya kiuchunguzi iliyoshiba ambayo itasukuma mamlaka husika kuamka na kuchukua hatua.
Lengo liwe kuwafanya wahusika wawajibike kwa kauli na matendo yao. Yaani kama Joseph ni muongo au kama Slaa ni muongo au kama Polisi hawakutekeleza majukumu yao basi wawajibike.
Kama hatua hazitochukuliwa kwa kauli kama za Slaa unafikiri anaweza kusema mangapi? Na kwa nafasi aliyokuwa nayo Ya Mtendaji Mkuu unafikiri anajua mangapi? Na watu watamuamini kiasi gani? Anaweza kusingizia mangapi? Wewe na uanachama sijui upenzi au ushabiki wako kwa Chadema kutokea nanjilinji huko labda...unajua nini kulingana na Slaa?
 
Nimeanzia Mwanzo mpaka Mwisho
nimeligeuza Gazeti Mpaka Ukurasa wa 40 Bado Sijamuona Huyo Asiye Julikana
Sana Naona Mafumbo tu kama Code za Kina Lokole
Hakika wewe sio mfatilia Mambo,mbonaa Pascal hajaficha Jambo...naiko wazi kwani huku msikia balozi Dr wilbord silaa
 
Kwa kuwa siasa ni personal na attacks na Magu alikuwa bingwa wa personal attacks kwa hiyo unakiri Magu alikuwa Mwanasiasa mzuri?
Au ulitaka kusema nini?
Manake sijakuelewa
Na je hizo personal attacks zinaondoa matatizo ya msingi katika jamaii kama rushwa, wizi, mfumo wa haki, uwajibikaji mbovu, ukosefu wa ajira, uhuru wa habari, demokrasi nakadhalika....
Haya nishambulie na mimi matatizo yako yapungue

Personal attacks ni njia inayotumiwa na watu dhaifu kuhamisha jicho na akili kutoka kwenye mantiki na hoja na badala yake kumuangalia mtu binafsi.
Ukweli au Hoja nzuri yenye mantiki inaweza kuletwa na mtu yeyote hata awe shoga mwizi mlarushwa kahaba msaliti mshirikina au mchawi.
Wajibu wako wewe ni kuutafuta ukweli kuepuka ulaghai au bias
Hata mkeo akitaka kukwepa shutuma atakuambia kwanza huyo pasco mayala alikuwa ananitongoza nikakataa ndio maana amekwambia hayo
 
Kwamba sifa ya ubunfe ni kujua kusoma na kuandika alafu miongoni mwa majukumu yao ni kutunga sheria no wonder. Kaka P watakuita tena mi najua iyo ? Umeiandika kwa mwandiko mmdogo haionekaniiiii 🤣🤣🤣
 
usipindishe. aliasisi siasa chafu nanyi mkamshangilia. acha wanaolipiza kisasi wakishachoka nchi itatulia.

usiweke uchungu sana. kwa sababu wanaomsema vibaya sana ni wazee wenu wa ccm. take it easy ili wazee wa ccm wakuone mwenye adabu,..... aste aste!

ninaelewa maumivu uliyonayo kwa sababu ya kufiwa mwasisi wa siasa zenu chafu za kishenzi.
Pole sana.

Maisha ndivyo yalivyo.
 
Pole sana. Personal attacks aliasisi Magu?
Naanza kupata wasiwasi na uelewa wako ktk mambo ya siasa
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu hata awe mkubwa na kuota unyoya atabakia kuwa nyoka.

Nashukuru umeandika kwa maslahi ya taifa. Asante kutoa links zinazoonesha mtiririko wa nyuzi na mwendelezo wa kutafuta wasiojulikana.

Niongeze asante nyingine kwa kauli yako inayosema, "wasiojulikana waendelee kutafutwa....watapatikana na kujulikana,.......ila wasiojulikana kamwe hawatajulikana" Nigusie hapa "kama hawatojulikana" kwamba huenda hao wanaoulizwa kama wako hopeless waliamua kuwa hopeless kwa makusudi ili kuwezesha wasiojulikana wasijulikane kamwe, na baadaye waache kuwa hopeless na kuonesha uwezo wao wa kufanya kazi na kuwapata wasiojulikana wasio halisia na kuwafanya wajulikane kama wasiojulikana halisi!!

Pascal unajua wazi kuwa jeshi la polisi sio hopeless and idara nyeti sio dhaifu hata kidogo kushindwa kuyaweka bayana haya. Sema tu this is how the deep state works...na huenda makala zingine zinaletwa hapa kukazia na kunogesha movie husika
 
Pole sana. Personal attacks aliasisi Magu?
Naanza kupata wasiwasi na uelewa wako ktk mambo ya siasa
shida yako you have taken it too personal....relax. mfuate mzee wasira umuulize hilo swali maana ndiye huwa mwenyekiti wa kuandaa na kuandika ilani ya uchaguzi ya ccm na ndiye ameanza kurusha makombora. atakupa jibu sawia kabisa, kiu yako itakwisha.
 
shida yako you have taken it too personal....relax. mfuate mzee wasira umuulize hilo swali maana ndiye huwa mwenyekiti wa kuandaa na kuandika ilani ya uchaguzi ya ccm na ndiye ameanza kurusha makombora. atakupa jibu sawia kabisa, kiu yako itakwisha.
Shida ya siasa za kufuata upepo. You don't have enough time to research... Thats why ukikosa hoja unatukana badala ya kukaa kimya
 
Shida ya siasa za kufuata upepo. You don't have enough time to research... Thats why ukikosa hoja unatukana badala ya kukaa kimya
"shida yako you have taken it too personal....relax. mfuate mzee wasira umuulize hilo swali maana ndiye huwa mwenyekiti wa kuandaa na kuandika ilani ya uchaguzi ya ccm na ndiye ameanza kurusha makombora. atakupa jibu sawia kabisa, kiu yako itakwisha.
".....tusi liko wapi hapa?

ukikosa hoja unanyamaza. hakuna sehemu hata moja nimekutukana. nimekwambia don't keep it personal. waache wanaomsema vibaya magu, ambao walio wengi wamo katika ccm yako, wakichoka kumsema vibaya wataacha.

ccm siyo yako, huhitaji kuwa na hasira
 
Mbona hoja zako zinagusa magu kwani yeye ndio agenda yetu. Wewe ndio umemleta Magu kwa mara ya kwanza ukidai ni bingwa wa personal attack. Sasa imekuwa magu magu magu kama unashida naye nenda kaburini ukafanye unayoona yatakupendeza huo ndio ushauri wa Zito Kabwe

Hoja ya msingi ni shutuma za Slaa kuhusu utekaji ndani ya chadema ndipo Pasco kaja na hoja anauliza wasiojilikana sasa wanaanza kujulikana?
Sasa badala ya kujikita kwenye hoja
umechomekea Magu. Sasa mimi nawewe nani anamuimba Magu.
Kila Agenda tutakuwa tumajadili Magu?. Aliwaumuza kiasi gani?
Acha kuharibu uzi wa mwenzio hii agenda sio aliokusudia anzisha ya kwako tutakuja kuchangia
 
Polisi wanawafahamu wote wasiyojulikana waliohusika katika matukio yote ya kuteka na kupiga risasi pamoja na kiongozi aliyekuwa anatoa amri nani auawe kwa njia ipi ya kupigwa risasi au kupotezwa kimyakimya.

Ndiomaana tangu mtoa amri atangulie mbele za haki hakuna aliyetekwa wala kupigwa risasi,sasa nimwendo wa kujadiliana mezani.

Huyu anayejitokeza na kuongea ya kuongea,polisi wamemdharau kwa kuwa wanatambua kuwa kinachomsumbua ni njaa iliopanda kichwani kwa kuwa polisi kama polisi wahusika wakuu na mtoa amri wao wanamfahamu polisi hawawezi kuhangaika na mtu anayesukumwa na njaa kubwabwaja.
 
pole sana. I never thought you are this dump.
 
Wengine hatuna vyanzo kujua huyo mtu ni nani.
Sasa mtaje ili na wewe uepuke kuwa mtu wa MAFUMBO mengi CODES na mwisho kuwa lile kundi la kwanza na la pili at go.
Yaani "accessories (before and after) the fact

Usiwe muoga
 
Huyo Mzee Hana lolote anamchezee mama mziki Ili ionekane yupo upande wake, kufuatia mkeala wa mama, Bazi Mzee analinda tongue lake. Anajua akirudishwa ndio maisha basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…