Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

Eitha hujui chochote au uko kimkakati. Hizo nguvu mnazotumia kuiangamiza Chadema kula siku zinakwama na uongo wenu unajinasibu kwa uwazi.
Yona wa Temeke mbona ukweli ulijulikana mapema tuu na sasa ni mmoja wa watu wanaotumiwa kufanya propaganda za ccm kutukana viongozi wa Chadema!
Mnasingizia kesi ngumu viongozi wa CDM lakini mwisho ni kuumbuka. Hivi kama unaweza kumsingizia mtu kesi ya uongo jee siku ukiipata ya kweli atapumua huyo?
Kama sio mkono wa Mungu hakika Chadema ingekufa wakati wa Magufuli, lakini ikawa the opposite
Shida yenu ni kufikiri kila kitu siasa.
Kifupi nikuambie hivi
Tuna mapungufu makubwa kama Taifa na wajanja wanatumia mwanya huu kufanya yao.
Shutuma za Slaa ni kubwa..kwanza kwa Chadema na pili Polisi ambao hawajafanya kitu kwa maelezo yake.
Hapa ndipo Role ya Mhimili wa 4 kama wanavojiita vyombo vya Habari wangeshika usukani
1. Wamuhoji Joseph Yona
2. Wawahoji polisi walifanya nini
3. Wachukue maelezo ya Slaa
4. Waje na habari ya kiuchunguzi iliyoshiba ambayo itasukuma mamlaka husika kuamka na kuchukua hatua.
Lengo liwe kuwafanya wahusika wawajibike kwa kauli na matendo yao. Yaani kama Joseph ni muongo au kama Slaa ni muongo au kama Polisi hawakutekeleza majukumu yao basi wawajibike.
Kama hatua hazitochukuliwa kwa kauli kama za Slaa unafikiri anaweza kusema mangapi? Na kwa nafasi aliyokuwa nayo Ya Mtendaji Mkuu unafikiri anajua mangapi? Na watu watamuamini kiasi gani? Anaweza kusingizia mangapi? Wewe na uanachama sijui upenzi au ushabiki wako kwa Chadema kutokea nanjilinji huko labda...unajua nini kulingana na Slaa?
 
Nimeanzia Mwanzo mpaka Mwisho
nimeligeuza Gazeti Mpaka Ukurasa wa 40 Bado Sijamuona Huyo Asiye Julikana
Sana Naona Mafumbo tu kama Code za Kina Lokole
Hakika wewe sio mfatilia Mambo,mbonaa Pascal hajaficha Jambo...naiko wazi kwani huku msikia balozi Dr wilbord silaa
 
Politics is about attacking a person personally so that people can perceive him/her and the part they lead as bad...and that was Magufuli's sinister tactic...and a lot of dump people fell for it. Mkaona ndiyo direction ya nchi, mkamuimba magu mpaka vyumbani mwenu. The table has turned mnaanza kulialia.

Ninyi majuha wa CCM mlimuona Magufuli wa maana kwa sababu alikuwa anawatesa akina mbowe na wapinzani wengine wengi hata Lisu kupigwa risasi. Uliwahi kusikia magufuli inaishambulia chadema kama taasisi? Uliwahi kusikia hata maramoja magu anatishia kufuta chama chochote cha upinzani? NO... ALIKUWA DAKTARI BINGWA WA PERSONAL ATTACK, na ndiyo sababu hata mlipoona mmeshindwa kumuua Lisu mkazuia mshahara wake. Mshahara wa mbunge ni wa umma au it is a personal benefit?

Toa boriti ktk jicho lako kwanza kabla hujaona kibanzi kwa mwingine....acha kulialia. kwenye vijiwe vyenu vya kijani muelezane ukweli. Magu aliharibu sana siasa ya nchi hii, nanyi mkashangilia kwa nguvu zenu zote. ambianeni ukweli mbadilike.
Kwa kuwa siasa ni personal na attacks na Magu alikuwa bingwa wa personal attacks kwa hiyo unakiri Magu alikuwa Mwanasiasa mzuri?
Au ulitaka kusema nini?
Manake sijakuelewa
Na je hizo personal attacks zinaondoa matatizo ya msingi katika jamaii kama rushwa, wizi, mfumo wa haki, uwajibikaji mbovu, ukosefu wa ajira, uhuru wa habari, demokrasi nakadhalika....
Haya nishambulie na mimi matatizo yako yapungue

Personal attacks ni njia inayotumiwa na watu dhaifu kuhamisha jicho na akili kutoka kwenye mantiki na hoja na badala yake kumuangalia mtu binafsi.
Ukweli au Hoja nzuri yenye mantiki inaweza kuletwa na mtu yeyote hata awe shoga mwizi mlarushwa kahaba msaliti mshirikina au mchawi.
Wajibu wako wewe ni kuutafuta ukweli kuepuka ulaghai au bias
Hata mkeo akitaka kukwepa shutuma atakuambia kwanza huyo pasco mayala alikuwa ananitongoza nikakataa ndio maana amekwambia hayo
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Kwa Maslahi ya Taifa,
Leo Kwa Maslahi ya Taifa ni uwezo wa Jeshi letu la polisi ku deal na wasiojulikana.

Naomba kuanza bandiko hili Kwa msisitizo, nimeuliza swali, " Do we have a Hopeless Police Force?. Sijasema "We have a Hopeless Police Force!". Nimeanza na angalizo hilo, maana kule nyuma niliwahi kuuliza "Jee Bunge Letu Linajipendekeza Kwa Serikali?", niliitwa mpaka Dodoma na kuhojiwa na Kamati ya Bunge Kwa tuhuma kuwa eti nimetoa statement ya kulikashifu na kulidhalilisha Bunge la JMT kwa kutoa statement ya kusema "Bunge Linajipendekeza Kwa Serikali!", nikawaambia sikutoa statement, bali niliuliza swali," Jee Bunge Linajipendekeza Kwa Serikali?, na alama ya kuuliza, Ila mbunge aliyenituhumu bungeni, yeye hakuiona hiyo alama ya kuuliza, na Kwa vile sifa za Mbunge wa Bunge la JMT ni pamoja na kujua kusoma na kuandika, hivyo mtu yoyote aliyemaliza darasa la 7, lazima ana uwezo wa kusoma nakuandika, hivyo uwezo huo wakusoma ni pamoja na uwezo wa kuiona alama ya kuuliza!. Vitu vidogo vidogo kama hivi, vinatusababishia wana jamii kuhoji viwango vya elimu vya baadhi ya wabunge wetu viko chini ya kiwango cha darasa la 7!. Mbunge kama huyu, ukiwaita baadhi ya wabunge wetu ni vilaza, utakuwa umewakosea?

Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa likisumbuliwa na kuhangaika na kundi la watu wanaitwa "wasiojulikana", wanaofanya vitendo viovu ikiwa ni pamoja na utekaji, utesaji, na mauaji, na miili kutoonekana, na mingingine kuiweka miili kwenye viroba, na kuitupa mtoni, ziwani au baharini, baadhi ya miili iliyofungwa vibaya, huibuka juu ya maji na kuonekana ikiwa imefungwa kwenye viroba.

Miongoni vya watu waliofanyiwa uhalifu huo ni pamoja na kiongozi wa mgomo wa madaktari, Dr. Ulimboka, Mhariri wa Gazeti la Mtanzania, Absolom Kibanda, Mwandishi wa habari wa Mwananchi, Azory Gwanda, mwana JF maarufu Ben Saanane, na wengine wengi. Vitendo hivi vilifika peak, pale Mnadhimu Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa kumiminiwa marisasi ya kutosha, mchana kweupe akiwa katika makazi rasmi ya Wabunge, yenye ulinzi imara 24/7 jijini Dodoma.

Hakuna mtu yoyote aliyewahi kushukiwa, kukamatwa au kuhojiwa kutokana na matukio hayo, wala jeshi letu makini na adilifu la polisi, halikuwahi kutoa taarifa yoyote ya uchunguzi wa matukio hayo.

Hali hiyo ilipelekea huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi ya watu na taasisi fulani fulani kuanza kunyoosheana vidole, kwa kuwataja baadhi ya watu na baadhi ya Taasisi.

Taasisi ya kwanza kunyooshewa vidole ni Jeshi letu la polisi, lilishutumiwa kwa uzembe wa kushindwa kufanya chochote kuzuia matukio hayo na baada ya matukio kutofanya uchunguzi wowote na kama walifanya uchunguzi kimya kimya hawakutoa taarifa yoyote ya maendeleo ya uchunguzi.

Taasisi ya pili kunyooshewa kidole ni Idara yetu nyeti ya Usalama wa Taifa. Akina sisi tuliozaliwa kwenye familia za wana usalama wa Taifa Kwa Baba na Mama, tunaukumbuka uadilifu wa wazazi hivyo tukashauri, TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Ili tusizidi kunyoosheana vidole vya kushikana uchawi kutafutana mchawi, kwanza nijitolea kuwafungua macho watu kuhusu watu "wasiojulikana" na 'wasiojulikana', nikasema "wasiojulikana" waendelee kutafutwa, ipo siku watapatikana na watajulikana, Ila 'wasiojulikana', kamwe hawatajulikana Ila kitu kinachoitwa karma kuwashughulikia. Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.

Tena nikaomba Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

Kwa vile mimi sio polisi bali tasnia yetu ya habari, ni Mhimili wa Nne, usio rasmi ambao una baadhi ya waandishi wenye uwezo wa kuandika stori za uchunguzi, Investigative Journalism, hivyo tunaweza kusaidia, na mimi ni mmoja wa waandishi wa kundi hili, hivyo tukajitolea kuwapa polisi lead ya pakuanzia, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija

Kisha tukahamasishana WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Na kweli baada ya muda sii mrefu, karma ilianza Kula vichwa vya baadhi ya walionyooshewa vidole!, Ila hawajaisha.

Kuna baadhi ya vyama vya siasa kutokana na kauli za viongozi wake kuhamasisha vurugu, vilivyooshewa vidole. Video za kupanga utekaji zikanaswa na kupandishwa YouTube. Rwakatare Hawezi Kushitakiwa Kwa Ushahidi wa "You Tube!"

Baadhi ya viongozi wakashikwa na kushitakiwa, Ila DPP akaamua kufuta kesi.https://www.jamiiforums.com/threads/lwakatare-kufikishwa-mahakamani-kesho-au-kuachiwa-huru.419161/

Kwenye hizo tuhuma za vyama vya siasa kutishia amani, hatukunyamaza tulionya, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

Na tukawaelimisha the consequences ya vitendo vya uhalifu wa vyama vyao.https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-kuwa-hatma-ya-chadema-ipo-mikononi-kwa-lwakatare-baada-ya-chadema-kumwaga-ugali-lwaka-akiamua-kumwaga-mboga-chadema-kwishney.1729255/

Kiongozi yoyote wa chama chochote au taasisi yoyote anapopata tip yoyote kuhusu uhalifu wowote, anapaswa kuripoti polisi.

Kitendo cha kiongozi yoyote wa chama chochote kupokea taarifa yoyote ya uhalifu wa aina yoyote na kuinyamazia, kiongozi hiyo ni mashirika wa uhalifu!

Kama amepokea taarifa ya mipango ya uhalifu kabla haujatendeka na kuunyamazia bila kuuripoti, kiongozi ni mhalifu aitwae accessories before the fact.

Na kama kiongozi yoyote amepokea taarifa yoyote ya uhalifu wowote ulikwisha tendeka, na akaunyamazia, kiongozi huyu ni mhalifu aitwae accessories after the facts.

Sasa baadhi ya wasiojulikana hawa wameanza kutajana!. Kiongozi mmoja mkubwa wa chama kikubwa cha siasa, juzi kati, aliubuka nakutoa siri ya wasiojulikana wa chama chake.

Kiongozi huyu hadi ametaja tukio, aliyefanyiwa uhalifu na mhalifu alitetenda uhalifu huo, badala ya kiongozi huyo kuripoti polisi, kiongozi huyo ameuzungumza uhalifu huo kwa vyombo vya habari.

Swali moja tuu kwa Jeshi letu makini na adilifu la polisi, linasubiri nini kumhoji asiyejulikana huyu ambaye sasa amejulikana awataje wenzie?!. Tukisema Tanzania tuna jeshi la polisi very hopeless, tutakuwa ni tunaliionea Jeshi la polisi?.

Kama 'asiyejulikana' Huyu, amewataja wasiojulikana wenzake, jee Jeshi letu la polisi, linangoja nini kumhoji asiyejulikana huyu?. Do we really have, such a hopeless Police Force in Tanzania, or ni mimi ndio hopeless in my thinking?.

Paskali
Kwamba sifa ya ubunfe ni kujua kusoma na kuandika alafu miongoni mwa majukumu yao ni kutunga sheria no wonder. Kaka P watakuita tena mi najua iyo ? Umeiandika kwa mwandiko mmdogo haionekaniiiii 🤣🤣🤣
 
Kwa kuwa siasa ni personal na attacks na Magu alikuwa bingwa wa personal attacks kwa hiyo unakiri Magu alikuwa Mwanasiasa mzuri?
Au ulitaka kusema nini?
Manake sijakuelewa
Na je hizo personal attacks zinaondoa matatizo ya msingi katika jamaii kama rushwa, wizi, mfumo wa haki, uwajibikaji mbovu, ukosefu wa ajira, uhuru wa habari, demokrasi nakadhalika....
Haya nishambulie na mimi matatizo yako yapungue
usipindishe. aliasisi siasa chafu nanyi mkamshangilia. acha wanaolipiza kisasi wakishachoka nchi itatulia.

usiweke uchungu sana. kwa sababu wanaomsema vibaya sana ni wazee wenu wa ccm. take it easy ili wazee wa ccm wakuone mwenye adabu,..... aste aste!

ninaelewa maumivu uliyonayo kwa sababu ya kufiwa mwasisi wa siasa zenu chafu za kishenzi.
Pole sana.

Maisha ndivyo yalivyo.
 
Pole sana. Personal attacks aliasisi Magu?
Naanza kupata wasiwasi na uelewa wako ktk mambo ya siasa
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Kwa Maslahi ya Taifa,
Leo Kwa Maslahi ya Taifa ni uwezo wa Jeshi letu la polisi ku deal na wasiojulikana.

Naomba kuanza bandiko hili Kwa msisitizo, nimeuliza swali, " Do we have a Hopeless Police Force?. Sijasema "We have a Hopeless Police Force!". Nimeanza na angalizo hilo, maana kule nyuma niliwahi kuuliza "Jee Bunge Letu Linajipendekeza Kwa Serikali?", niliitwa mpaka Dodoma na kuhojiwa na Kamati ya Bunge Kwa tuhuma kuwa eti nimetoa statement ya kulikashifu na kulidhalilisha Bunge la JMT kwa kutoa statement ya kusema "Bunge Linajipendekeza Kwa Serikali!", nikawaambia sikutoa statement, bali niliuliza swali," Jee Bunge Linajipendekeza Kwa Serikali?, na alama ya kuuliza, Ila mbunge aliyenituhumu bungeni, yeye hakuiona hiyo alama ya kuuliza, na Kwa vile sifa za Mbunge wa Bunge la JMT ni pamoja na kujua kusoma na kuandika, hivyo mtu yoyote aliyemaliza darasa la 7, lazima ana uwezo wa kusoma nakuandika, hivyo uwezo huo wakusoma ni pamoja na uwezo wa kuiona alama ya kuuliza!. Vitu vidogo vidogo kama hivi, vinatusababishia wana jamii kuhoji viwango vya elimu vya baadhi ya wabunge wetu viko chini ya kiwango cha darasa la 7!. Mbunge kama huyu, ukiwaita baadhi ya wabunge wetu ni vilaza, utakuwa umewakosea?

Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa likisumbuliwa na kuhangaika na kundi la watu wanaitwa "wasiojulikana", wanaofanya vitendo viovu ikiwa ni pamoja na utekaji, utesaji, na mauaji, na miili kutoonekana, na mingingine kuiweka miili kwenye viroba, na kuitupa mtoni, ziwani au baharini, baadhi ya miili iliyofungwa vibaya, huibuka juu ya maji na kuonekana ikiwa imefungwa kwenye viroba.

Miongoni vya watu waliofanyiwa uhalifu huo ni pamoja na kiongozi wa mgomo wa madaktari, Dr. Ulimboka, Mhariri wa Gazeti la Mtanzania, Absolom Kibanda, Mwandishi wa habari wa Mwananchi, Azory Gwanda, mwana JF maarufu Ben Saanane, na wengine wengi. Vitendo hivi vilifika peak, pale Mnadhimu Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa kumiminiwa marisasi ya kutosha, mchana kweupe akiwa katika makazi rasmi ya Wabunge, yenye ulinzi imara 24/7 jijini Dodoma.

Hakuna mtu yoyote aliyewahi kushukiwa, kukamatwa au kuhojiwa kutokana na matukio hayo, wala jeshi letu makini na adilifu la polisi, halikuwahi kutoa taarifa yoyote ya uchunguzi wa matukio hayo.

Hali hiyo ilipelekea huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi ya watu na taasisi fulani fulani kuanza kunyoosheana vidole, kwa kuwataja baadhi ya watu na baadhi ya Taasisi.

Taasisi ya kwanza kunyooshewa vidole ni Jeshi letu la polisi, lilishutumiwa kwa uzembe wa kushindwa kufanya chochote kuzuia matukio hayo na baada ya matukio kutofanya uchunguzi wowote na kama walifanya uchunguzi kimya kimya hawakutoa taarifa yoyote ya maendeleo ya uchunguzi.

Taasisi ya pili kunyooshewa kidole ni Idara yetu nyeti ya Usalama wa Taifa. Akina sisi tuliozaliwa kwenye familia za wana usalama wa Taifa Kwa Baba na Mama, tunaukumbuka uadilifu wa wazazi hivyo tukashauri, TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Ili tusizidi kunyoosheana vidole vya kushikana uchawi kutafutana mchawi, kwanza nijitolea kuwafungua macho watu kuhusu watu ana Ila kitu kinachoitwa karma kuwashughulikia. Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajuli"wasiojulikana" na 'wasiojulikana', nikasema "wasiojulikana" waendelee kutafutwa, ipo siku watapatikana na watajulikana, Ila 'wasiojulikana', kamwe hawatajulikkana!.

Tena nikaomba Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

Kwa vile mimi sio polisi bali tasnia yetu ya habari, ni Mhimili wa Nne, usio rasmi ambao una baadhi ya waandishi wenye uwezo wa kuandika stori za uchunguzi, Investigative Journalism, hivyo tunaweza kusaidia, na mimi ni mmoja wa waandishi wa kundi hili, hivyo tukajitolea kuwapa polisi lead ya pakuanzia, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija

Kisha tukahamasishana WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Na kweli baada ya muda sii mrefu, karma ilianza Kula vichwa vya baadhi ya walionyooshewa vidole!, Ila hawajaisha.

Kuna baadhi ya vyama vya siasa kutokana na kauli za viongozi wake kuhamasisha vurugu, vilivyooshewa vidole. Video za kupanga utekaji zikanaswa na kupandishwa YouTube. Rwakatare Hawezi Kushitakiwa Kwa Ushahidi wa "You Tube!"

Baadhi ya viongozi wakashikwa na kushitakiwa, Ila DPP akaamua kufuta kesi.https://www.jamiiforums.com/threads/lwakatare-kufikishwa-mahakamani-kesho-au-kuachiwa-huru.419161/

Kwenye hizo tuhuma za vyama vya siasa kutishia amani, hatukunyamaza tulionya, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

Na tukawaelimisha the consequences ya vitendo vya uhalifu wa vyama vyao.https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-kuwa-hatma-ya-chadema-ipo-mikononi-kwa-lwakatare-baada-ya-chadema-kumwaga-ugali-lwaka-akiamua-kumwaga-mboga-chadema-kwishney.1729255/

Kiongozi yoyote wa chama chochote au taasisi yoyote anapopata tip yoyote kuhusu uhalifu wowote, anapaswa kuripoti polisi.

Kitendo cha kiongozi yoyote wa chama chochote kupokea taarifa yoyote ya uhalifu wa aina yoyote na kuinyamazia, kiongozi hiyo ni mashirika wa uhalifu!

Kama amepokea taarifa ya mipango ya uhalifu kabla haujatendeka na kuunyamazia bila kuuripoti, kiongozi ni mhalifu aitwae accessories before the fact.

Na kama kiongozi yoyote amepokea taarifa yoyote ya uhalifu wowote ulikwisha tendeka, na akaunyamazia, kiongozi huyu ni mhalifu aitwae accessories after the facts.

Sasa baadhi ya wasiojulikana hawa wameanza kutajana!. Kiongozi mmoja mkubwa wa chama kikubwa cha siasa, juzi kati, aliubuka nakutoa siri ya wasiojulikana wa chama chake.

Kiongozi huyu hadi ametaja tukio, aliyefanyiwa uhalifu na mhalifu alitetenda uhalifu huo, badala ya kiongozi huyo kuripoti polisi, kiongozi huyo ameuzungumza uhalifu huo kwa vyombo vya habari.

Swali moja tuu kwa Jeshi letu makini na adilifu la polisi, linasubiri nini kumhoji asiyejulikana huyu ambaye sasa amejulikana awataje wenzie?!. Tukisema Tanzania tuna jeshi la polisi very hopeless, tutakuwa ni tunaliionea Jeshi la polisi?.

Kama 'asiyejulikana' Huyu, amewataja wasiojulikana wenzake, jee Jeshi letu la polisi, linangoja nini kumhoji asiyejulikana huyu?. Do we really have, such a hopeless Police Force in Tanzania, or ni mimi ndio hopeless in my thinking?.

Paskali
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu hata awe mkubwa na kuota unyoya atabakia kuwa nyoka.

Nashukuru umeandika kwa maslahi ya taifa. Asante kutoa links zinazoonesha mtiririko wa nyuzi na mwendelezo wa kutafuta wasiojulikana.

Niongeze asante nyingine kwa kauli yako inayosema, "wasiojulikana waendelee kutafutwa....watapatikana na kujulikana,.......ila wasiojulikana kamwe hawatajulikana" Nigusie hapa "kama hawatojulikana" kwamba huenda hao wanaoulizwa kama wako hopeless waliamua kuwa hopeless kwa makusudi ili kuwezesha wasiojulikana wasijulikane kamwe, na baadaye waache kuwa hopeless na kuonesha uwezo wao wa kufanya kazi na kuwapata wasiojulikana wasio halisia na kuwafanya wajulikane kama wasiojulikana halisi!!

Pascal unajua wazi kuwa jeshi la polisi sio hopeless and idara nyeti sio dhaifu hata kidogo kushindwa kuyaweka bayana haya. Sema tu this is how the deep state works...na huenda makala zingine zinaletwa hapa kukazia na kunogesha movie husika
 
Pole sana. Personal attacks aliasisi Magu?
Naanza kupata wasiwasi na uelewa wako ktk mambo ya siasa
shida yako you have taken it too personal....relax. mfuate mzee wasira umuulize hilo swali maana ndiye huwa mwenyekiti wa kuandaa na kuandika ilani ya uchaguzi ya ccm na ndiye ameanza kurusha makombora. atakupa jibu sawia kabisa, kiu yako itakwisha.
 
Shida ya siasa za kufuata upepo. You don't have enough time to research... Thats why ukikosa hoja unatukana badala ya kukaa kimya
 
"shida yako you have taken it too personal....relax. mfuate mzee wasira umuulize hilo swali maana ndiye huwa mwenyekiti wa kuandaa na kuandika ilani ya uchaguzi ya ccm na ndiye ameanza kurusha makombora. atakupa jibu sawia kabisa, kiu yako itakwisha.
".....tusi liko wapi hapa?

ukikosa hoja unanyamaza. hakuna sehemu hata moja nimekutukana. nimekwambia don't keep it personal. waache wanaomsema vibaya magu, ambao walio wengi wamo katika ccm yako, wakichoka kumsema vibaya wataacha.

ccm siyo yako, huhitaji kuwa na hasira
 
Mbona hoja zako zinagusa magu kwani yeye ndio agenda yetu. Wewe ndio umemleta Magu kwa mara ya kwanza ukidai ni bingwa wa personal attack. Sasa imekuwa magu magu magu kama unashida naye nenda kaburini ukafanye unayoona yatakupendeza huo ndio ushauri wa Zito Kabwe

Hoja ya msingi ni shutuma za Slaa kuhusu utekaji ndani ya chadema ndipo Pasco kaja na hoja anauliza wasiojilikana sasa wanaanza kujulikana?
Sasa badala ya kujikita kwenye hoja
umechomekea Magu. Sasa mimi nawewe nani anamuimba Magu.
Kila Agenda tutakuwa tumajadili Magu?. Aliwaumuza kiasi gani?
Acha kuharibu uzi wa mwenzio hii agenda sio aliokusudia anzisha ya kwako tutakuja kuchangia
 
Polisi wanawafahamu wote wasiyojulikana waliohusika katika matukio yote ya kuteka na kupiga risasi pamoja na kiongozi aliyekuwa anatoa amri nani auawe kwa njia ipi ya kupigwa risasi au kupotezwa kimyakimya.

Ndiomaana tangu mtoa amri atangulie mbele za haki hakuna aliyetekwa wala kupigwa risasi,sasa nimwendo wa kujadiliana mezani.

Huyu anayejitokeza na kuongea ya kuongea,polisi wamemdharau kwa kuwa wanatambua kuwa kinachomsumbua ni njaa iliopanda kichwani kwa kuwa polisi kama polisi wahusika wakuu na mtoa amri wao wanamfahamu polisi hawawezi kuhangaika na mtu anayesukumwa na njaa kubwabwaja.
 
Mbona hoja zako zinagusa magu kwani yeye ndio agenda yetu. Wewe ndio umemleta Magu kwa mara ya kwanza ukidai ni bingwa wa personal attack. Sasa imekuwa magu magu magu kama unashida naye nenda kaburini ukafanye unayoona yatakupendeza huo ndio ushauri wa Zito Kabwe

Hoja ya msingi ni shutuma za Slaa kuhusu utekaji ndani ya chadema ndipo Pasco kaja na hoja anauliza wasiojilikana sasa wanaanza kujulikana?
Sasa badala ya kujikita kwenye hoja
umechomekea Magu. Sasa mimi nawewe nani anamuimba Magu.
Kila Agenda tutakuwa tumajadili Magu?. Aliwaumuza kiasi gani?
Acha kuharibu uzi wa mwenzio hii agenda sio aliokusudia anzisha ya kwako tutakuja kuchangia
pole sana. I never thought you are this dump.
 
Wengine hatuna vyanzo kujua huyo mtu ni nani.
Sasa mtaje ili na wewe uepuke kuwa mtu wa MAFUMBO mengi CODES na mwisho kuwa lile kundi la kwanza na la pili at go.
Yaani "accessories (before and after) the fact

Usiwe muoga
 
Huyo Mzee ni mchumia tumbo tuu. Amepoteza relevance kwa jamii so anakuja na nitoke vipi.

Hata hivyo back to the topic, huyo Mzee anastahili kuburutwa Kituoni na kutoa maelezo yaliyonyooka lakini pia kutoa maelezo kwa nini amekaa kimya siku zote hizo?
Huyo Mzee Hana lolote anamchezee mama mziki Ili ionekane yupo upande wake, kufuatia mkeala wa mama, Bazi Mzee analinda tongue lake. Anajua akirudishwa ndio maisha basi tena
 
Back
Top Bottom