Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Acha zako. Wasiojulikana mizizi Yao IPO chama Dola na taasisi zakeKuna tetesi hao wasiojulikana wanahusika na utwaaji wa maisha ya Wangwe na jaribio la Tundu Lissu to mention a few. Kikulacho...
Kuna tetesi hao wasiojulikana wanahusika na utwaaji wa maisha ya Wangwe na jaribio la Tundu Lissu to mention a few. Kikulacho...
Yaani Pascal kama unaweza kuanzisha Uzi mrefu Kiasi hiki kwa statement ya kipuuzi ya Slaa then na wewe ni miongoni mwao.Sasa baadhi ya wasiojulikana hawa wameanza kutajana!. Kiongozi mmoja mkubwa wa chama kikubwa cha siasa, juzi kati, aliubuka nakutoa siri ya wasiojulikana wa chama chake.
[emoji849]Brother umezunguka sana hadi umekata Pumzi .
Hao unaowaita wasiojulikana ni KIKOSI KAZI kilichoundwa chini ya ofisi ya Rais kupitia TISS kudhibiti wale wote waliokuwa kikwazo kwa mtukufu.
Mwandishi gani unakuwa muoga oga hivyo kwa jambo lililoumiza watanzania kwa kiasi kikubwa kile.?
Hili swali bado liko valid kwa kinachoendelea sasa kwenye taifa letu!.Wanabodi,
Naomba kuanza bandiko hili Kwa msisitizo, nimeuliza swali, " Do we have a Hopeless Police Force?. Sijasema "We have a Hopeless Police Force!". Nimeanza na angalizo hilo, maana kule nyuma niliwahi kuuliza "Jee Bunge Letu Linajipendekeza Kwa Serikali?", niliitwa mpaka Dodoma na kuhojiwa na Kamati ya Bunge Kwa tuhuma kuwa eti nimetoa statement ya kulikashifu na kulidhalilisha Bunge la JMT.
Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa likisumbuliwa na kuhangaika na kundi la watu wanaitwa "wasiojulikana", wanaofanya vitendo viovu ikiwa ni pamoja na utekaji, utesaji, na mauaji, na miili kutoonekana, na mingingine kuiweka miili kwenye viroba, na kuitupa mtoni, ziwani au baharini, baadhi ya miili iliyofungwa vibaya, huibuka juu ya maji na kuonekana ikiwa imefungwa kwenye viroba.
Hakuna mtu yoyote aliyewahi kushukiwa, kukamatwa au kuhojiwa kutokana na matukio hayo, wala jeshi letu makini na adilifu la polisi, halikuwahi kutoa taarifa yoyote ya uchunguzi wa matukio hayo.
Hali hiyo ilipelekea huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi ya watu na taasisi fulani fulani kuanza kunyoosheana vidole, kwa kuwataja baadhi ya watu na baadhi ya Taasisi.
Taasisi ya kwanza kunyooshewa vidole ni Jeshi letu la polisi, lilishutumiwa kwa uzembe wa kushindwa kufanya chochote kuzuia matukio hayo na baada ya matukio kutofanya uchunguzi wowote na kama walifanya uchunguzi kimya kimya hawakutoa taarifa yoyote ya maendeleo ya uchunguzi.
Do we really have, such a hopeless Police Force in Tanzania, or ni mimi ndio hopeless in my thinking?.
Paskali
Huu unyama haukubaliki...Hili swali bado liko valid kwa kinachoendelea sasa kwenye taifa letu!.
Hili tukio la kifo cha huyu mzee, kwa mujibu wa taarifa za tukio lenyewe, mimi nimejiridhisha wahusika sio watu wasiojulikana, ni 'wasiojulikana'
Nashauri kwa negligence iliyofanywa na Jeshi letu la polisi kuhusu kadhia hii ya kifo cha Mzee Ali Mohamed Kibao, Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu , kukutwa ameuwawa na watu 'wasiojulikana' na mwili wake kutupwa eneo la Kunduchi Ununio, kwa kuanzia nashauri watu wwanne hawa wawajibike!.
1. Waziri - kwa ajali kazini
2. IGP - kwa negligence ya RPC wake
3. RPC -DSM - negligence
4. OCD Kinondoni - negligence, na hawa wawili wa mwisho RPC na OCD wanaweza kufikishwa kwa Pilato!.
Ni wakati sasa Rais Samia kukasirika kama enzi za Nyerere!.
P
Hili swali bado liko valid kwa kinachoendelea sasa kwenye taifa letu!.

Tatizo Bibi yangu hajuagi kukasirikaHili swali bado liko valid kwa kinachoendelea sasa kwenye taifa letu!.
Hili tukio la kifo cha huyu mzee, kwa mujibu wa taarifa za tukio lenyewe, mimi nimejiridhisha wahusika sio watu wasiojulikana, ni 'wasiojulikana'
Nashauri kwa negligence iliyofanywa na Jeshi letu la polisi kuhusu kadhia hii ya kifo cha Mzee Ali Mohamed Kibao...............
Ni wakati sasa Rais Samia kukasirika kama enzi za Nyerere!.
P
Nalishauri jeshi letu makini na adilifu, la polisi, kukinunua kitabu cha EK,na kukitumia kama info tip kuanzisha uchunguzi wa kuwabaini hawa wasiojulikana kwa kuzifanyia uchunguzi tips zote EK alizozitoa。Wanabodi,
Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa likisumbuliwa na kuhangaika na kundi la watu wanaitwa "wasiojulikana", wanaofanya vitendo viovu ikiwa ni pamoja na utekaji, utesaji, na mauaji, na miili kutoonekana, na mingingine kuiweka miili kwenye viroba, na kuitupa mtoni, ziwani au baharini, baadhi ya miili iliyofungwa vibaya, huibuka juu ya maji na kuonekana ikiwa imefungwa kwenye viroba.
Miongoni vya watu waliofanyiwa uhalifu huo ni pamoja na kiongozi wa mgomo wa madaktari, Dr. Ulimboka, Mhariri wa Gazeti la Mtanzania, Absolom Kibanda, Mwandishi wa habari wa Mwananchi, Azory Gwanda, mwana JF maarufu Ben Saanane, na wengine wengi. Vitendo hivi vilifika peak, pale Mnadhimu Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa kumiminiwa marisasi ya kutosha, mchana kweupe akiwa katika makazi rasmi ya Wabunge, yenye ulinzi imara 24/7 jijini Dodoma.
Kwa vile mimi sio polisi bali tasnia yetu ya habari, ni Mhimili wa Nne, usio rasmi ambao una baadhi ya waandishi wenye uwezo wa kuandika stori za uchunguzi, Investigative Journalism, hivyo tunaweza kusaidia, na mimi ni mmoja wa waandishi wa kundi hili, hivyo tukajitolea kuwapa polisi lead ya pakuanzia, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
Paskali
Unaamini hawakuwahi kufahamika tokea huko nyuma?Nalishauri jeshi letu makini na adilifu, la polisi, kukinunua kitabu cha EK,na kukitumia kama info tip kuanzisha uchunguzi wa kuwabaini hawa wasiojulikana kwa kuzifanyia uchunguzi tips zote EK alizozitoa。
Wasiojulikana nje nje!。
P
hata kama walifahamika ni walifahamika kimya kimya,hii story ya Ben Saanane niliisikia, lakini this is the first time kutajwa hadharani!。Unaamini hawakuwahi kufahamika tokea huko nyuma?
Huenda hata yalimpota mwandishi mwenzenu Azory Gwanda ulisikia ila media house ya Tanzania mkaamua kusalia kimya.hata kama walifahamika ni walifahamika kimya kimya,hii story ya Ben Saanane niliisikia, lakini this is the first time kutajwa hadharani!。
P
No ya Azory Gwanda sikusikia,ila landcruiser nyeupe ya mkonga ni za wale jamaa zetu wa mikoani,walifuata ufunguo wa nyumba shambani kwa mkewe akawapa, wakaenda nae kufanya search nyumbani kwake,wakaondoka nae kimoja!。Huenda hata yalimpota mwandishi mwenzenu Azory Gwanda ulisikia ila media house ya Tanzania mkaamua kusalia kimya.
UNAWEZA KUTA BY NOW, KARMA ILIISHAWASHUGHULIKIA WAHUSIKA WAKUU WOTE?No ya Azory Gwanda sikusikia,ila landcruiser nyeupe ya mkonga ni za wale jamaa zetu wa mikoani,walifuata ufunguo wa nyumba shambani kwa mkewe akawapa, wakaenda nae kufanya search nyumbani kwake,wakaondoka nae kimoja!。
Unaweza kuta by now, karma iliisha washughulikia wahusika wakuu wote!。
P
Task Force iliundwa imetoa report kwa Govt acha nicheke.....!! Baso sawa ......au basiiiihata kama walifahamika ni walifahamika kimya kimya,hii story ya Ben Saanane niliisikia, lakini this is the first time kutajwa hadharani!。
P