Karne hii bado kuna nchi zinapigana vita?

Hao ni war monger ambao wengi wao IQ zao za kufikiri ni ndogo sana mifano ya hao ni kama

Napoleon
Hitler

Ukiwa na akili kiduchu lazima utumie miguvu ya vita
 
Vita ni projects za watu na kwakuwa wajinga wanakufa na kuzaliwa basi vita itakuwa endless project
 
Dunia imejaa watu wenye tamaa sana ya madaraka na mali.

Ni rahisi sana mataifa kuingia vitani kwa sasa kuliko miaka ya nyuma.
Hao wenye tamaa ni miongoni mwa watu wenye akili ndogo za kufikiri katika dunia iliyojaa fursa kila mahali na teknolojia iliyojuu katika kutatua changamoto za kimaisha inakuwaje na tamaa za kijinga hadi uingize watu vitani
 
Vita ni projects za watu na kwakuwa wajinga wanakufa na kuzaliwa basi vita itakuwa endless project
Nina shaka na hao wanaotumika sijui ni kizazi cha ngapi kwa kizazi hiki cha karne hii mtu unakubali kutumika ni ajabu sana
 
Nina shaka na hao wanaotumika sijui ni kizazi cha ngapi kwa kizazi hiki cha karne hii mtu unakubali kutumika ni ajabu sana
Ukiwa unaona watu wanatekwa na kuuliwa huwa unafikifiri hao watekaji wanajituma au wanatumwa.

Kama nilivyosema most of people join in Military because had no better option in life .
 
Huo ustaarabu wenyewe umejengwa kwa vita, utumwa, uonevu, etc.
 
Hao ni war monger ambao wengi wao IQ zao za kufikiri ni ndogo sana mifano ya hao ni kama

Napoleon
Hitler

Ukiwa na akili kiduchu lazima utumie miguvu ya vita
Hakuna ufalme uliojengwa bila vita.
 
Wengi tunaamini watu wa mataifa makubwa kama USA na umoja wa ulaya ndio watu wenye akili kubwa duniani ila ni kinyume chake

Napata wasiwasi wa watu wa Israel na middle East kama watakuwa timamu kiakili yani na karne hii watu bado wanagombania mipaka na itikadi? Kwanini kila mtu asitulie kwake akajibidiisha kutatua changamoto za watu wake ikiwemo maji Safi, fursa za kiuchumi, Afya na Mambo mengine kama hayo
 
hAta mimi nashangaa sana,mfano nikifikiria jinsi hzo nchi zilivyokuwa zimejengwa (israel,ukrain,gaza) lakin miundombinu hyo inaharibiwa kirahis tu

Pamoja na kuwa sahv dunian ni pagumu sana chakula kiduchu,ajira hamna,nazan watu wangepigania maisha kuliko huo ujinga wao
 
Hakuna ufalme uliojengwa bila vita.
Kwa karne hizo za kujenga ufalme na nchi Vita zilikuwa inevitable kwa sasa wanajenga nini na kila nchi Ina mipaka, sheria na taratibu zake
 
Inashangaza sana badala ya kudeal na current issues za kiuchumi wanaendekeza ujima wa zama za mawe
 
Ndio zenu hizo, akipigwa Mungu wenu utasikia AI hizo.
Sasa wakuta majibizano kama hayo yanasababisha watu mnapigana vita hiyo ni akili au matope hamna vitu vya msingi vya kufanya kama vile

Kukuza uchumi wako binafsi
Kujikita katika ugunduzi na uvumbuzi
Kulinda Afya yako n.k
 
Kwa karne hizo za kujenga ufalme na nchi Vita zilikuwa inevitable kwa sasa wanajenga nini na kila nchi Ina mipaka, sheria na taratibu zake
Mipaka ya nchi, sheria na taratibu zake haziondoi human nature ya kupenda kuwatawala wengine na mashindano.

Kama hujaweza kutatua tatizo lililopo katika vichwa vya watu, hayo mambo ya mipaka, sheria na taratibu hayasaidii lolote.

Zaidi, mambo ya mipaka, sheria na taratibu tofauti ndiyo yanayoanzisha vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…