Hizo Vita ukiangalia sababu zake hasa ni ideology/dini na kidogo uchumiHuwa nashindwa kuelewa tamaa zinazowapelekea mpaka kuanza vita
Fikiria Marekani yeye ana angalia maslahi yake wala sio amani wala nini bali Mali za wenzake
Sasa sijui wanataka mafuta ya Iran?
Sio kwa kushabikia kote huku
Hata DRC vita yote kisa madini
Kwani hawawezi kupatana bila nguvu
Unasema kweli ila ndio hivyo
Hasara wanazopata ni kubwa sana kuliko faida wanachotaka ni kuitawala dunia kitu ambacho walishindwa katika karne za ukolini hadi sasa wazungu akili zao ndogo sanaBaada ya kuona hii vita ya Iran/ Israel, sasa NATO wanatandisha bajeti zao za silaha mpaka 5% ya GDP
Wanahaha sasa
UK watanunua ndege za F-35 ambazo zitabeba nuclear war heads zenye uwezo wa kuuwa maelfu ya watu kwa wakati mmoja
Yaani ni maajabu sana
Hasara walizopata Israel kwa interceptors tu zilikuwa ni $200m kwa siku
HaswaHizo Vita ukiangalia sababu zake hasa ni ideology/dini na kidogo uchumi
Marekani hataki kuitawala Palestine bali ni Israel ndio inaitaka sana ardhi yote ya Palestine.Hivi nchi kama Palestine Ina potential gani ambayo Marekani inapata baada ya kuitawala?
Tuanzie hapo Mipaka iliyogawanywa na kugawanywa na nani ? Ukizingatia hilo kuna matatizo mengi sana ya leo yamsababishwa na mkoloni kwa kujigawia ardhi sio kutokana na waliopo bali wao wanajipa kitu gani...Katika karne ya watu waliostaarabika na welevu wa Mambo mipaka ya nchi iliyogawanywa kila nchi na mipaka yake na itikadi au falsafa zake vita zanini?
Wapumbavu sana ya kwao yanawashindaHasara wanazopata ni kubwa sana kuliko faida wanachotaka ni kuitawala dunia kitu ambacho walishindwa katika karne za ukolini hadi sasa wazungu akili zao ndogo sana
Bado wana ukoloni mwingi katika zama za watu waliochangamka Mimi nauita ukosefu wa akiliMarekani hataki kuitawala Palestine bali ni Israel ndio inaitaka sana ardhi yote ya Palestine.
Hasa West Bank ambayo kijiografia Ina eneo lenye rutuba nzuri na maji masafi
Wao wanaamini ni Ardhi yao lakini waliwakuta watu wakiishi hapo kabla.
Suala zima ni siasa, dini na hata ardhi wanayoitaka kimabavu ili waongezeke na kuwa wengi kuliko waarabu.
Sehemu za waarabu kuna milima pia kwa hivyo wanataka au wameweka kambi zao za kijeshi kwa mustakhbali wa baadae
Ila hakuna kitu kwa sasa
Israel kachezea sharubu.
Hakutegemea kabisa
Na sasa hao Wayahudi waliopewa manyumba ya bure Baada ya Palestine kufukuzwa na kubomolewa ili settlers wajitanue
Sasa sidhani kama watakaa tena hapo kwani waliahidiwa ulinzi wa hali ya juu na serikali ya Israel
Hata mashoga waliotoka nchi tofauti wamekimbia na wenzao
Wameona hakuna amani tena hapo baada ya kichapo.
Hata Marekani hana la kufanya tena
Labda wajaribu tena
Ila zaidi ya ardhi ya kuchukua kimabavu sidhani kama wayahudi watarudi tena
Especially hao wenye Uraia pacha
Ukoloni ulishawashinda kitambo tu sasa wanachotaka nini? Walishawatawala watu miaka na miaka wakaona mzigo wakatoa uhuru iki wanachokifanya asaivi ni ukosefu wa akiliTuanzie hapo Mipaka iliyogawanywa na kugawanywa na nani ? Ukizingatia hilo kuna matatizo mengi sana ya leo yamsababishwa na mkoloni kwa kujigawia ardhi sio kutokana na waliopo bali wao wanajipa kitu gani...
Mfano huwezi kuwambia muhaya asiende kuongea na ndugu yake mganda ambaye yule ni ndugu yake zaidi (culturally) kuliko Muhaya na mtu wa Pwani....
Moja people should move anywhere especially kwenye boarders ni ndugu zaidi..., Mbili Resources zinavyopungua watu wanaangalia tofauti zao ili kujipa justification ya kwamba kuna wao na wale na sio SISI.... Case in point sehemu kama Rwanda na Burundi vinchi vidogo unategemea nini ? Kwa sisi tunao angalia mbali nilishawashauri hawa ndugu zetu waanze kuoleana (ili hii mixture iwe homogeneous na sio heterogeneous)
Mfano wa Kuigwa: Mkusanyiko wa Makabila uliotengeneza Taifa Moja (Watanzania)
Wakati majirani huko na kule wanabaguana ni vema wakachungulia huku na kujifunza. Vilevile na sisi tukachungulia kule ili kuona ni vipi tusijefanya makosa kama yao. Sifa za Makabila; (Ili uwe Kabila mara nyingi unahitaji yafuatayo) Lugha yenu Ardhi / Eneo Utamaduni wenu, tofauti na wengine...www.jamiiforums.com
Kwanini ndugu zetu Wahutu na Watusi wasipromote kuoana zaidi ili Kuongeza Ushirikiano na Amani baina yao
Today's Decision are tomorrow Realities..., Nadhani hawa ndugu zetu ni kama Petroli inafuka inahitaji Spark (cheche) kidogo tu ili moto kuwaka...; Sasa kwa faida ya vitukuu vyao kwanini wasichanganyikane zaidi na zao la mchangayiko huo lisitengwe ?; Haya mambo mwisho wa siku ni perception tu...www.jamiiforums.com
Wanaendekeza ubabe wa kivita wa enzi za giza katika zama za welevuWapumbavu sana ya kwao yanawashinda
Hapa Uingereza kuna mivutano sana kwenye hii serikali ya Kier
Tuna madeni kibao yaani ukiangalia riba ya madeni ni zaidi ya £1b halafu bado wanataka kununua ndege 12 za kivita kutoka US za F-35
Huku wakikata hela nyingi sana za disability allowance
Wabunge 135 wamemgomea waziri wa fedha ili lisipite na kati ya hao Wabunge 120 ni kutoka chama tawala
Yaani kama wabunge Wetu wagome muswada kupitishwa
Kweli Ulaya kiboko
Wananchi wengi wana dhiki sana, na hali ni ngumu kwa wazawaWanaendekeza ubabe wa kivita wa enzi za giza katika zama za welevu
Marekani hana uchumi wowote ni vile tu ndio Mastermind wa chokochoko duniani. Wenzie wanawekeza katika miradi ya kiuchumi na teknolojia yeye kazi kuinjinia Vita middle East na Ukraine miaka yote
Rudia ikusoma nilichoandika utagundua ulichojibu sichoUkoloni ulishawashinda kitambo tu sasa wanachotaka nini? Walishawatawala watu miaka na miaka wakaona mzigo wakatoa uhuru iki wanachokifanya asaivi ni ukosefu wa akili
Kumbuka waliotawaliwa kipindi hicho ni binadamu mambumbumbu sio sawa na hawa wa asaivi ni mjinga tu ndio anaeweza kufikiri kuwa anaweza kurudisha ukoloni wa mipaka zama hizi
Na kuhusu mipaka iliyowekwa enzi za uhuru hiyo ishawekwa na muingiliano hauathiri utawala kama mobility hiyo italenga ukuaji wa kidiplomasia na uchumi hizi chokochoko za akina Kagame ni ukosefu wa akili
Nilichojibu nahisi ni sahihi nimejaribu kuelewa kuwa unamaanisha hiyo mipaka iliyowekwa kutenganisha nchi na nchi sometimes ndio huleta migogoro, if yes!Rudia ikusoma nilichoandika utagundua ulichojibu sicho
Case in Point Banyarwanda waliopo Congo ambao walikuwepo hapo hata kabla Belgium hajatenga Congo na kuchukua sehemu ambayo iliwachukua hao Banyarwanda; matokeo yake leo hii kuna watu wanawaambia hao warudi kwao ? Kwao wapi ?!!!Nilichojibu nahisi ni sahihi nimejaribu kuelewa kuwa unamaanisha hiyo mipaka iliyowekwa kutenganisha nchi na nchi sometimes ndio huleta migogoro, if yes!
Nikajibu kuwa kama mobility ya watu waliotenganishwa na mipaka ikawa ni kwa ajili ya kukuza diplomasia na uchumi hakuna shida kuliko kujaribu kuretake sehemu ambayo ishagawanywa na kupewa mamlaka kisheria kama ifanyavyo Rwanda na Urusi ni chokochoko za kipuuzi
Kabla hujajadili original ya watu wanatokea wapi tujiulize kwani kuna ubaya gani wewe mtanzania kuishi na mrundi au mhutu as long as hakudhuru kwa chochote? Na kama anakudhuru kwanini akurudhuru na kwanini asiishi na wewe kwa upendo na amani?Case in Point Banyarwanda waliopo Congo ambao walikuwepo hapo hata kabla Belgium hajatenga Congo na kuchukua sehemu ambayo iliwachukua hao Banyarwanda; matokeo yake leo hii kuna watu wanawaambia hao warudi kwao ? Kwao wapi ?!!!
Self Preservation is a close Cousin of Aggression..., na resources zinapoanza kuwa chache Amini nakwambia chokochoko itaanza; mifano ni lukuki Hitler na Jews; Afrika Kusini na wahamiaji; Mtikila na Gambachori; Dar watu wa Kariakoo walivyoanza chokochoko na Wachina n.k. Huko USA na Canada wabongo hawahodhi commanding heights wakati wengine (so called wazawa) wamepigika....;Kabla hujajadili original ya watu wanatokea wapi tujiulize kwani kuna ubaya gani wewe mtanzania kuishi na mrundi au mhutu as long as hakudhuru kwa chochote? Na kama anakudhuru kwanini akurudhuru na kwanini asiishi na wewe kwa upendo na amani?
Wangapi wanazamia mataifa ya watu na wanaishi kwa amani na pia wamepokelewa kwa amani USA, CANADA, SOUTH AFRICA na kwingineko? Je kuishi nje ya mipaka ulipozaliwa ni kosa?
Kwahiyo marginal boundaries haziwezi kuhalalisha Vita ukiona watu wanapigana Vita kugombania mipaka akili zao haziwatoshi
Vita ni matumizi madogo ya akili let's say resources hazitoshi coz of migration only solution ni kudundana? Hakuna mbadala wa hilo?Self Preservation is a close Cousin of Aggression..., na resources zinapoanza kuwa chache Amini nakwambia chokochoko itaanza; mifano ni lukuki Hitler na Jews; Afrika Kusini na wahamiaji; Mtikila na Gambachori; Dar watu wa Kariakoo walivyoanza chokochoko na Wachina n.k. Huko USA na Canada wabongo hawahodhi commanding heights wakati wengine (so called wazawa) wamepigika....;
By the way vita navyo ni biashara za watu USA imekuwa ikifadhili dissidents kwa ajili ya kupigana proxy wars....;
NB: Of all the animals, man is the only one that is cruel. He is the only one that inflicts pain for the pleasure of doing it.